Viazi vitamuViazi gani? Viazi vitamu au viazi mringo?
Unacheka kwa kuwa hujui kitu pole sanaHahahha
Soko la viazi vitamu lipo wapi na soko kubwa lipo mwezi gani?Viazi vitamu
Hawa wa wiki 4 kaka wanaowamaliza wanaume wa Dar nguvu zaoAnza na wachache, lakini pia ni Kuku wapi unaotaka kufuga?
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.Nikumbushe kisa kimoja cha ukweli kabisa ingawa ni cha siku nyingi. Yupo mchaga mmoja
ambaye alikuwa amebahatika kupata ajira hapa Jijini, baada ya muda fulani akaamua
kutafuta sehemu ambayo alifungua banda la chipsi. Alimwita mdogo wake kutoka nyumbani
Moshi akamweka hapo. Baada ya Muda fulani yule bwana akapata Likizo, akaamua kumsaidia
mdogo wake shuguli za chips.
Kwa mapato aliyoyaona muda huo mfupi akashtuka sana, akaamua kuacha kazi ili afanye
biashara hiyo ya Chipsi jambo ambalo lilileta mzozo na baba yake mzazi ambaye hakukubaliana
kabisa na mpango huo huku akisisitiza kuwa yeye hakumsomesha aje kuuza chipsi.
Yule Mchaga hakukubali, akaacha kazi na akafungua 'senta' nyingine ya Chipsi.....
Tuachane na huyo mchaga hebu nirudi kwenu wadau naomba tupeane uzoefu hapa
ni fursa gani ambazo macho ya kawaida haizioni kuwa Fursa za maana lakini zinaweza
kukupaisha Kimaisha?
Mambo mawili muhimu sana ya kuzingatia 1.Usafi 2. Chanjo hususani ya Kideri na mzuri ambayoAhsante mkubwa GAZETI nitangulize ombi wiki 2 zijazo nitakusumbuasumbua huko PM kwa ajili ya kitu fulani juu ya ufugaji huuhuu.
forex vipi? Ontario amekupigaMnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Afu huyu jamaa wanamuitaga msukule wa Ontario. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Ohoo!Afu huyu jamaa wanamuitaga msukule wa Ontario. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.