Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Binafsi wadau nawaza nikodi tractor nikalimie huko bagamoyo kwa kukodishwa ktk msimu wa kilimo utakapoanza, wadau mliowahi hii project nipeni uzoefu
 
Kama kuna watu wanatumia miili yao kwenye shughuli za ujenzi then nafikiri taaluma ya kukodisha mwili wako kwa ajili ya kugegedwa inalipa sana.

Hakuna mtaji wewe na condom zako tu na kageto kama wahaya.
 
Nikumbushe kisa kimoja cha ukweli kabisa ingawa ni cha siku nyingi. Yupo mchaga mmoja
ambaye alikuwa amebahatika kupata ajira hapa Jijini, baada ya muda fulani akaamua
kutafuta sehemu ambayo alifungua banda la chipsi. Alimwita mdogo wake kutoka nyumbani
Moshi akamweka hapo. Baada ya Muda fulani yule bwana akapata Likizo, akaamua kumsaidia
mdogo wake shuguli za chips.

Kwa mapato aliyoyaona muda huo mfupi akashtuka sana, akaamua kuacha kazi ili afanye
biashara hiyo ya Chipsi jambo ambalo lilileta mzozo na baba yake mzazi ambaye hakukubaliana
kabisa na mpango huo huku akisisitiza kuwa yeye hakumsomesha aje kuuza chipsi.

Yule Mchaga hakukubali, akaacha kazi na akafungua 'senta' nyingine ya Chipsi.....

Tuachane na huyo mchaga hebu nirudi kwenu wadau naomba tupeane uzoefu hapa
ni fursa gani ambazo macho ya kawaida haizioni kuwa Fursa za maana lakini zinaweza
kukupaisha Kimaisha?
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
 
Ahsante mkubwa GAZETI nitangulize ombi wiki 2 zijazo nitakusumbuasumbua huko PM kwa ajili ya kitu fulani juu ya ufugaji huuhuu.
 
Ahsante mkubwa GAZETI nitangulize ombi wiki 2 zijazo nitakusumbuasumbua huko PM kwa ajili ya kitu fulani juu ya ufugaji huuhuu.
Mambo mawili muhimu sana ya kuzingatia 1.Usafi 2. Chanjo hususani ya Kideri na mzuri ambayo
mimi nilikuwa naitumia inaitwa ITA NEW mwingine ni ujanja ujanja tu tunaufanya kuboresha
ili upate kwa wingi.
 
Mnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Afu huyu jamaa wanamuitaga msukule wa Ontario. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.

How do you do that brother???
Mie nime invest kwenye Cryptos.
Hiyo ya video games sijaipata kabisa, what is your main activities in that venture
 
Back
Top Bottom