Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Ni kweli kabisa, ili ngombe akulipe ni lazima uweke mazingira mazuri pia kwaajili yakeNgombe ni mwendo wa nipe nikupe ukumlisha vizuri atatoa maziwa mrngi kama chakula ni hafifu atatoa maziwa machache hio investment ni uncertainity
Tunauza Mitamba yenye Mimba, tunashauri sana unapo nunua ng'ombe nunua mtamba mwenye mimba.Je mnauza ndama kwa ufugaji na kama mnauza ni kiasi gani ? na ni wa umri gani anafaa kwa ufugaji bila kumtegemea mama yake?
KaribuSawa
OK mimi sihitaji mitamba , nahitaji ndama jike tu , kwa sababu nina aina ya ngo'mbe kila wanapozaa hufa na kuacha ndama ,mwisho wasiku nae ndama akikua wakati wa kuzaa hufa pia, hivyo nahitaji kubadili mbegu.Tunauza Mitamba yenye Mimba, tunashauri sana unapo nunua ng'ombe nunua mtamba mwenye mimba.
Nicheck kwa namba hii 0764 148 221 whatsup kupata taarifa zaidi.
Pia kuna group la mafunzo, ushauri ma wadau
Sawa tuwasiliane, tutakusaidia kupataOK mimi sihitaji mitamba , nahitaji ndama jike tu , kwa sababu nina aina ya ngo'mbe kila wanapozaa hufa na kuacha ndama ,mwisho wasiku nae ndama akikua wakati wa kuzaa hufa pia, hivyo nahitaji kubadili mbegu.
Sawa.Sawa tuwasiliane, tutakusaidia kupata
Karibu tenaNitarudi
Ndugu kuna ng'ombe aina mbili, Chotara na Pure, inategemea na mahitaji yako. Kama unania wasiliana nasi 0764 148 221Weka bei ya hao ng'ombe hapa,je ni wa kisasa au wa kawaida
mkuu ingependeza kama ungeweka full informationNdugu kuna ng'ombe aina mbili, Chotara na Pure, inategemea na mahitaji yako. Kama unania wasiliana nasi 0764 148 221
Bei ya Pure Fresian Mwenye uwezo wa kutoka Lita 20 - 25 kwa Siku Bei ni Million 3. 5, Anakua mtamba mwenye mimba ya miezi 4 hadi 6.mkuu ingependeza kama ungeweka full information
safi kabisa mnapatikana wapiBei ya Pure Fresian Mwenye uwezo wa kutoka Lita 20 - 25 kwa Siku Bei ni Million 3. 5, Anakua mtamba mwenye mimba ya miezi 4 hadi 6.
Chotara mwenye uwezo wa lita 15 - 20 kwa siku ( bei ni Million 2.5)
Tunapatikana Mwanza, Dar ja Arusha pia tuna mueakilishi wetusafi kabisa mnapatikana wapi
Je kama sipo mikoa hiyo huyo ng'ombe ntampatajeTunapatikana Mwanza, Dar ja Arusha pia tuna mueakilishi wetu
Hua tunatuma mikoani, ila mkulima analipia usafari, gharama za usafiri hutegemea sehemu aliyopoJe kama sipo mikoa hiyo huyo ng'ombe ntampataje