Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

Japo PICHA za ngombe wenyewe wako sokoni kwa sasa!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ni ngumu kufahamu sifas za ng'ombe husika kwa kutazama sababu muonekano tu, haitoshi kufahamu kua huyu ng'ombe anasifa zinazohitajika ( japo kwa kutazama muonekano unaweza kumtambua ng'ombe wa kisasa na chotara.)
 
Hivi kati ya ufugaji wa ng'ombe na swine production ipi ina uafadhari esp kwemye chakula na magonjwa? Watalaamu mnisaidie
 
Hivi kati ya ufugaji wa ng'ombe na swine production ipi ina uafadhari esp kwemye chakula na magonjwa? Watalaamu mnisaidie
Kuna msema wafugaji wanapenda kuutumia, matajiri wanafuga Nguruwe, Watu wa kawaida wanafuga Ng'ombe 😅
Hii Ni kwasababu nguruwe wanas gharama kubwa ukilinganisha na ng'ombe
 
Je mnauza ndama kwa ufugaji na kama mnauza ni kiasi gani ? na ni wa umri gani anafaa kwa ufugaji bila kumtegemea mama yake?
Meku. Upo deep kwenye hiii? Nataka mwangaza kwanza hata wa vitini nipitie niingie huku
 
Naomba kuuliza madini Bora ya kumpa ng'ombe kwaajili ya uzalishaji wa maziwa mengi. Pamoja na bei naahali ninapoweza kuyapata.
 
Back
Top Bottom