Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa.
Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa.
Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo kwenye mtandao wa Reddit na anatumia Jina la Old-Acanthaceae9813