Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Wanawavua wengi sana kwa hio mtego. Na serikali yetu vile huwa haifuatilii raia wake walipo na wanafanya nini?Uwe tu makini,
Unaweza kwenda fanyishwa mikazi huko au ukawekwa kwenye danguro, au ukauawa...
Huwezi jua ni mtu wa aina gani huyo