jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wazingu wanaoa wakishafikisha umri wa utu uzima, na Wazungu vijana kuingia kwenye Mahusiano na mabinti wa Africa ni ngumu sana, ni sawa na Baba zetu watembee na mabinti wa kizungu ambacho iko kitu nikigumu sana.Eti wasichana waingie kichwa kichwa Kwa mtoto mdogo kisa katangaza ndoa, ili afanye utalii wa .....................