Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

Eti wasichana waingie kichwa kichwa Kwa mtoto mdogo kisa katangaza ndoa, ili afanye utalii wa .....................
Wazingu wanaoa wakishafikisha umri wa utu uzima, na Wazungu vijana kuingia kwenye Mahusiano na mabinti wa Africa ni ngumu sana, ni sawa na Baba zetu watembee na mabinti wa kizungu ambacho iko kitu nikigumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…