Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Kutokana na Bodi ya Ligi kuu kuvuruga ligi hii ya mwaka huu, nadhani imefikia wakati kuwe na makampuni binafsi ya kuendesha na kusimamia mashindano mbalimbali yaliyo chini ya TFF. Makampuni hayo yawe yanateuliwa kwa ushindani kupitia tender system mwanzoni mwa msimu.
Hao wawe wanasimamia sheria na kanuni zote za ligi na vile vile kuteua na kusimamia waamuzi wa michezo yote. Kwa vile makampuni hayo yatakuwa yanafanya biashara, yataweza kuwa na unafuu sana kwenye uongozi wa mpira nchini. Bodi ya sasa inaonekana kuwa na kiburi sana kiasi cha kushindwa hata kutatua tatizo na Derby kidiplomasia wanataka kutumia mabavu tu.
Makampuni hayo yanaweza kuanzishwa na wasomi wtu wenye digrii za sheria na uongozi biashara na hivyo kutoa ajira nzuri kwa vijana wengine.