Fursa kwa Watanzania wanaolima Mboga wanaotaka kuzisafirisha Ulaya, Pitieni hapa

Naona wewe upo hapa kuharibu mjadala wa watu.

Unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Umeuliza nimekujibu, sepa! Kitu hujuwi unapewa majibu halafu unajidai unajuwa.

Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
 
Mkuu embu funguka kuhusu hayo maeneo ya kulima mbogamboga, Achana na hao wanaopiga siasa. Tupe huo mwongozo

Kuna sehemu mbele ya mkuranga panaitwa mwarusembe Kuna maeneo yanafaa sana kwa kilimo cha mboga, mimi huko nShalima sana tiki ti na matango.
Ila Kuna wakina mama wana vikundi wanalima mboga za majani na pili pili hoho etc
Maeneo yako ya kumwagaa tu
 
Nitampigia simu huyo Bwana mnufaika ili anipe hints za nini cha kufanya.
Wakuu Watu8 na FaizaFoxy msituharibie uzi jamani pengine nyie sahz mnaandika mkiwa kivulini wakati wenzenu tupo juani tunataabika na kilimo na tuvizalishavyo havina soko.

Nnaeharibu mjadala mimi au huyo punguani ajiitae Watu8. Kauliza, nimemfahamisha asome post #1 vizuri kuna namba ya simu, yeye bado tu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ff hajui ku hustle! Chief kama unalima mmbga mboga nafasi ndiyo hiyo.

Mkuu nalima sana tu hadi vingine vinaozeana shamba kwajili ya ukakasi wa soko.
Humu JF wengi wao wanajifanya wametusua maisha so kazi yao kuu ni kutibua hali ya hewa.
Eneo lipo kubwa sana kama hii fursa itakaa vizuri itakuwa neema kwangu.
 
Kuna sehemu mbele ya mkuranga panaitwa mwarusembe Kuna maeneo yanafaa sana kwa kilimo cha mboga, mimi huko nShalima sana tiki ti na matango.
Ila Kuna wakina mama wana vikundi wanalima mboga za majani na pili pili hoho etc
Maeneo yako ya kumwagaa tu

Kuna chanzo cha maji cha kudumu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji?
 
Kama unaona Tanzania hakuna fursa, nenda huko nje ukalime, unangoja nini? waachie wenzako wanayoiona fursa ya kulima hapa na kupeleka nje wakauze wafanye hivyo, si unamuona huyo kijana afanyavyo, hao ndiyo vijana wanaoziona fursa, si nyinyi mmekalia kulalama tu.
 
Hebu wewe jaribu kufanya angalau akili yko itakuwa imepumzika na Kutwa kufikiria siasa...Mimi ntakupa mwongozo wa wapi utapata mashamba ufanye kilimo cha mbogamboga

Naona hunijuwi, mimi nnalima leo mwaka wa 15 na mazao yote nnayauza shambani, sijakosa soko.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
naomba mnifahamish ndugu zangu jinsi ya mboga mboga zinazo stahimili ukame
 
kikwete aliulizwa kwanini Tanzania ni maskini na sio kwanini watanzania ni maskini!! Hayo maswali yana mantiki tofauti, usitudanganye!!
Nchi inaweza ikawa na matajiri wengi tu lakini pato la taifa likawa dogo kwenye kiwango cha umaskini, kama hujui sema ufafanuliwe kiuchumi!
 
Nimeachana na wewe kwa heshima ya wadau wengine tu...

Zaidi nimeachana na wewe kwa kuwa sitaki kuonekana chizi kwa kumfukuza taahira mmoja aliyekwapua nguo zangu wakati nikikoga zangu mtoni...

Nnaeharibu mjadala mimi au huyo punguani ajiitae Watu8. Kauliza, nimemfahamisha asome post #1 vizuri kuna namba ya simu, yeye bado tu.
 
Last edited by a moderator:

Wewe Tanzania bila Watanzania kutakuwa na umasikini na utajiri hapo?

Hivi shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mkuu embu funguka kuhusu hayo maeneo ya kulima mbogamboga, Achana na hao wanaopiga siasa. Tupe huo mwongozo

Mkuu kilimo cha mboga mboga ni aina ya kilimo unayoweza kuiendesha muda wote wa mwaka maadamu tu uwe na maji ya kutosha ya uhakika....

Kwa uzoefu wangu eneo la Mbuyuni Iringa ni maarufu kwa kilimo cha mboga na hata jamaa zangu kadhaa wameshafanya na wanafanya shughuli hizi za kilimo cha mboga...

Arumeru na Lushoto ni maeneo mengine ambayo kilimo hiki hukubali sana tu...

Wengine watajazia maarifa zaidi...
 
hii ni moja ya nafasi nzuri kwa sisi vijana kuitumia
 
Naona hunijuwi, mimi nnalima leo mwaka wa 15 na mazao yote nnayauza shambani, sijakosa soko.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Umelima wapi na unalima mazao gani? Hebu nieleze kidogo
 
Naona hunijuwi, mimi nnalima leo mwaka wa 15 na mazao yote nnayauza shambani, sijakosa soko.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ulime wapi wewe hata kupigwa jua hujui maumivu yake
Wee kaa hapo kwa kiyoyozi subiria upewe hela za chama chako
 
Tunashukuru sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…