Kuna chanzo cha maji cha kudumu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji?
U kichimba urefu wa futi 4 kwenda chini unapata maji mengi, mimi nilikuwa na chemba visima urefu huo kuzunguka shamba kwa ajili ya umwagiliaji
Ulime wapi wewe hata kupigwa jua hujui maumivu yake
Wee kaa hapo kwa kiyoyozi subiria upewe hela za chama chako
Kuna sehemu mbele ya mkuranga panaitwa mwarusembe Kuna maeneo yanafaa sana kwa kilimo cha mboga, mimi huko nShalima sana tiki ti na matango.
Ila Kuna wakina mama wana vikundi wanalima mboga za majani na pili pili hoho etc
Maeneo yako ya kumwagaa tu
U kichimba urefu wa futi 4 kwenda chini unapata maji mengi, mimi nilikuwa na chemba visima urefu huo kuzunguka shamba kwa ajili ya umwagiliaji
Hii kitu si rahisi kivile,
Kwa wale wote mnaolima mboga mnaotaka msaada namna ya kusafirisha ulaya muwasiliane na huyu kijana Machel Tarimo, Mkurugenzi na mmoja kati ya watatu waanzilishi wa HomeVeg Tanzania Ltd, aliyekuwa katika studio ya ITV mwishoni mwa mwaka jana kwenye kipindi cha Vijana na Kilimo Biashara akielezea alivyofanikiwa kwenye kusafirisha mbogamboga kwenye masoko ya Ulaya.
Kwa mawasiliano zaidi na Machel piga namba 0786683212.
Natumaini wale wadau wa umu JF watatumia fursa hii vizuri..
Mkuu ungeweka hayo makandokando hapa,pengine kuna watu walishayapitia na wakafanikiwa kuyavuka,Hii kitu si rahisi kivile,
ina makandokando mengi
pia imegubikwa na fitina na wivu wa kutosha.
Kuna chombo chaitwaMkuu ungeweka hayo makandokando hapa,pengine kuna watu walishayapitia na wakafanikiwa kuyavuka,
Hii itakua kwa faida ya wengi mkuu.
Habari yako mkuu.Wanauzaje heka moja huko nije nikwapue pande kubwa la ardhi.
Unaweza kuniunganisha nikapata ekari mbili tatu huko?
Huko Mkuranga ulipopataja ndiyo kwangu.
Kiyoyozi kina time zake wewe, chumia juani ulie kivulini.
Unafikiri nnalima kama alivyowalimisha Nyerere? amefunga kiwanda cha kuunganisha matrekta akaweka kiwanda cha jembe la mkono! maajabu ya duniani mengi.
Acha fiksi wewe endelea na ufahamu wako wa kuelewa kuwa kila kitu siasa
Hii kitu si rahisi kivile,
ina makandokando mengi
pia imegubikwa na fitina na wivu wa kutosha.
Nikufiksi wewe? mwenyewe ulipo ushafiksiwa tayari. Unanchekesha.
nilikuwa na wazo la kusindika kisamvu kwa kuwa ni mboga pendwa ila inahitaji muda kufanyiwa maandalizi
nililenga Soko liwe kwenye super market ila nikakosa kabisa namna ya kuingia kwenye hizo supermarkets
.