Fursa: Mdau kamata hii na uwekeze Arusha

kwa hio concept ndio nilielewa tokea mwanzo ndio maana nkakutajia baathi ya ruti ambazo mtu akipiga zina hela bajaji ni 20k au 25k kwa mpya na malengo ni 30k kama ni hivi nimekuelewa mkuu na pia hata hizo sehemu nlizokujatia ambazo daladala zipo mpaka saa 4 au saa sita au saba morombo unakuta sio nyingi ivo watu wanasubiri mno mpaka ijae ila bajaji watatu wanne inaamsha na ukizingatia usiku anaweza okoteza watu popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RE haiwezi piga kazi mbona unataja tvs na mapiaggio?
 
Arusha ina tatizo la usafiri hasa baada ya saa mbili usiku ila haina consistency si kila siku inakua hivyo, kuna baadhi ya siku daladala zinakua tupu kabisa. Na hata hizo siku zenye kua na watu wengi unaweza kuta shazi ipo upande mmoja tu, kurudi gari inakua tupu.
 
Nyie hamjui tu jinsi gani uzi wa "umeshawahi kula tunda kimasihara" ulivyo waharibu wanaume imani kwa wake zao,
Imekuwa shida na kushukushuku kiasi kwamba mtu anaona ikifika saa mbili bora awe nyumbani kuepuka kusaidiwa kazi na vijana wadowezi wa wake za watu.

Na ikumbukwe kuwa ni bora kusalitiwa, kuliko kugongewa kimya kimya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
GIRITA
RE haiwezi piga kazi mbona unataja tvs na mapiaggio?
Fursa: Usafiri kwenye jiji hilo unakuwa kero sababu ikifika saa 20:00 hours unaanza kuadimika hasa njia ya kuelekea Usa, Ngaramtoni, Njiro nk. Kwa mwenye kutafuta fursa mwaga Bajaji, TVS au Piagio kwa njia Tengeru au Ngaramtoni nk.
 
Endeleeni kujinyima ndio maana mnakufa mapema sisi hatuwezi acha nyama
 
Hii tatizo lipo Tanzania nzima ukiondoa Dar es salaam
 
.... unaweza kuta shazi ipo upande mmoja tu, kurudi gari inakua tupu.
Ndiyo maana nikasema 'fulsa' mwaga bajaj ili muda huo zifanye kazi ikiwa na maana ukifika uendako unaweza kupitia huko huko, juu kwa juu kwa kupakia abilia wengine.

Route za usiku (night shift) huwa siyo lazima kurudi na njia uliyokuja nayo, ni una_rotate kufuata abilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…