Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Habari za hapa wakuu
Kama mnavyojua mifuko ya plastic(nylon) zote zimepigwa marufuku miezi michache baadae zitaacha kutumika,hilo haliondoi sababu kwamba lazima watu madukan wapimiwe sukari,unga,maharagwe,mandazi n.k nusu,robo,kilo n.k
Vijana hii ni fursa kwetu kuja na idea nzuri yakureplace mifuko ya nylon,inatumika sana,soko ni uhakika kwa 95%.
Kwa upande wa kufungia vitu dukan nina idea ya zile bahasha flani hivi nyepesi za kakii...kwa wale wanaonda kuchukua vitafunwa kwenye migahawa mikubwa na ya kati wanazijua. Bahasha flani hivi kama za pembe nne, ile ni fursa ndugu zangu.
Nawakaribisha wataalamu wa mambo wanaojua upatikanaji wa mashine ya kutengeneza zile bahasha,bei, n.k
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
kikapu ndo dilihiyo mifuko yenu inaweza kubeba kilo tatu za mchele na tikiti maji la 2000 wakati natoka sokoni??
Nadhan kwa sasa kuna umuhimu wa kununua makapu kwaajili ya mahitaji ya sokoni ,maana iyo mifuko ni kwaajili ya kuwekea vitu vyepesi na visivyo na unyevu wa aina yoyotehiyo mifuko yenu inaweza kubeba kilo tatu za mchele na tikiti maji la 2000 wakati natoka sokoni??
Miaka ya zamani kabla ya mifuko ya plastic kua maarufu,hii mifuko ya karatasi ilikua inatengenezwa sana,tena manual tu!
hata ukinunua makapu bado uhitaji wa mifuko utakuepo mfano umenunua bidhaa tofauti tofauti sokoni huwezi zimix zote kwenye kikapu, lazima kila bidhaa utaiweka kwenye mfuko wakeNadhan kwa sasa kuna umuhimu wa kununua makapu kwaajili ya mahitaji ya sokoni ,maana iyo mifuko ni kwaajili ya kuwekea vitu vyepesi na visivyo na unyevu wa aina yoyote
Nunua lilikapu hukohiyo mifuko yenu inaweza kubeba kilo tatu za mchele na tikiti maji la 2000 wakati natoka sokoni??
Nadhani hata kufungia chips hazifai, sana sana kuwekea sukari na unga! Ila ngoja tuone...je. Hizi karatasi zenu ni kwa ajili ya kufungia chipsi kavu na mishkaki tu ama hata kichani kimoja cha ndizi bukoba, maembe na nyanya zinabeba.
ama nyie mnaangalia kufungia chipsi tu!!
Nionavyo, muemeaji unakuwa nakikapo chako kikubwa alafu bidhaa utakazo zinunua zinawekwa kwenye hizo karatasi alafu unatumbukiza kwenye kikapu chako.Conclusion:
huto tumifuko twa karatasi ni special kufungia chipsi kavu na mishkaki vibandani. Full replacement ya "Marlboro" ni kitu kingine kabisa.
Nimeiona, baada ya kuwa na kapu zile za entaprenyuuuua ndiyo utatumia mifuko ya kaki sasa kugawa vituSoma comment namba 29 hapo juu yako wewe halafu uje tena na jibu lako hili.
sidhani kama kuna paperbag ya kubeba tikiti maji au boga kwa mfano,sasa sijui babu zetu waliishije kabla ya plastic bag,as kwa kubeba kikapu haiwezimake,nani atakuwa anabeba kikapu mtaani mda wote,inabidi twende semina elekezi zanzibar kwanza
Nimeiona, baada ya kuwa na kapu zile za entaprenyuuuua ndiyo utatumia mifuko ya kaki sasa kugawa vitu
Sent using Jamii Forums mobile app