Fursa: Mifuko ya nailoni imepigwa marufuku ni Wakati wetu sasa kutafuta kitu mbadala

Hii REUSABLE BAGS hata Mimi naona ndio mbadala chamsingi itolewe elimu kwa wanajamii materials zinazotumika tuongeze viwanda hii kwa wajasiliamali ni sahihi na salama sana
Kweli kabisa halafu mbona zipo njia nyingi hata kama viwanda vya kutengeneza magunia watatengeneza mifuko midogo pia
Au hizo za plaatic reusable ambazo unazisafisha kwa huko kwetu itabidi
Naona ni fursa nzuri kwa sasa ila badala ya kuagiza mpaka mifuko China inabidi itengenezwe kwa wingi nyumbani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huko zanzibar hata wanaume wanatembea na vikapu kwenye vespa au baiskeli zao ingawa kwa huku bara sidhani kama tutaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 




Kikapu


Bags za cotton


Bags za karatasi
 

Attachments

  • 1-k-kIZ2lAf5fE4AFm4D74Bw.jpeg
    6.6 KB · Views: 24
Kama wajasiliamri, inabidi waangalie hii fursa kwenye mifuko midogomidogo ya kupimia sukari, unga, chipsi nk | humu naiona pesa mjadara uwishe leteni machine na bei zake tufanye tathmini hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wajasiliamri, inabidi waangalie hii fursa kwenye mifuko midogomidogo ya kupimia sukari, unga, chipsi nk | humu naiona pesa mjadara uwishe leteni machine na bei zake tufanye tathmini hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeanza KUFUNDISHA vijana kutengeneza vifuko vidogo vya sukari,maandazi,majani pia vya dizain fulani vya kubebea vitu vye unyevu Kama mabogambogan.k kwa mikono kabla ya kupata mashine, karibuni
 
Hii kazi kuna watu wanafanya kikubwa uplan namna ya usambazaji uwafikie haya maduka ya mitaani kuna sehemu Mimi nanunua hizi bahasha ndogo nachukua kwa 5000 PC 50. Kubwa 10000.
 
Vikapu vikiwa modified kwa kufanya zile nyuzi kua laini itafaa pia mkunge ni product nzuri ya kuanzia
 
je. Hizi karatasi zenu ni kwa ajili ya kufungia chipsi kavu na mishkaki tu ama hata kichani kimoja cha ndizi bukoba, maembe na nyanya zinabeba.
ama nyie mnaangalia kufungia chipsi tu!!
Tembelea machinga complex. Kuna mifuko ya kaki ya kila aina na size tofauti.IPO mpaka yenye mshikio.ila pei take IPO juu kuliko ya plastics
 
Sasa tutatumia magazeti. Magazeti nao wapate faida. Ila bora karatasi zinaoza. Mifuko ni janga kwa kweli mwezi uliopita wamemkuta Nyangumi kafa huko Ufilipino tumboni alikuwa kajaa mifuko ya plastic tupu.
 

Ooh, noo, mnataka kuanza kulisha watu cement, kweli Afrika makansa hayatakaa yaishe, Mungu atusaidie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…