wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
ok fine am a courier...ntakusaidia kubeba...!!,istoshe hi bado ni fursa kwetu my dearNdio. Nitakua sina cha kubebea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok fine am a courier...ntakusaidia kubeba...!!,istoshe hi bado ni fursa kwetu my dearNdio. Nitakua sina cha kubebea.
Kweli kabisa halafu mbona zipo njia nyingi hata kama viwanda vya kutengeneza magunia watatengeneza mifuko midogo piaHii REUSABLE BAGS hata Mimi naona ndio mbadala chamsingi itolewe elimu kwa wanajamii materials zinazotumika tuongeze viwanda hii kwa wajasiliamali ni sahihi na salama sana
Huko zanzibar hata wanaume wanatembea na vikapu kwenye vespa au baiskeli zao ingawa kwa huku bara sidhani kama tutawezaKaka nessonlegend umeona na hii comment ya mdau hapa??
Sasa sijui una maoni gani.
Mie bado naona mifuko ya "Marlboro" inasaidia sana, japo inachangia uchafuzi wa mazingira.
Hebu fikiria umetoka kazini unaamua upite sokoni kununua nahitaji ya family, huna kikapu. Utafanyeje??
Bado sijaona "suitable" replacement ya mifuko hii.
Machine zipo Alibaba bei kuanzia 4,000$ kwenda juu,mnaweza unganisha nguvu mkafanya hii biz.
Best comments is here.Machine zipo Alibaba bei kuanzia 4,000$ kwenda juu,mnaweza unganisha nguvu mkafanya hii biz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tutatengeneza ya katani itabeba tikiti na hata maboga usijalihiyo mifuko yenu inaweza kubeba kilo tatu za mchele na tikiti maji la 2000 wakati natoka sokoni??
Mkuu nimeanza KUFUNDISHA vijana kutengeneza vifuko vidogo vya sukari,maandazi,majani pia vya dizain fulani vya kubebea vitu vye unyevu Kama mabogambogan.k kwa mikono kabla ya kupata mashine, karibuniKama wajasiliamri, inabidi waangalie hii fursa kwenye mifuko midogomidogo ya kupimia sukari, unga, chipsi nk | humu naiona pesa mjadara uwishe leteni machine na bei zake tufanye tathmini hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
C lzm kuanza na machine,u cn start small kwa kutengeneza kwa mkonoKama wajasiliamri, inabidi waangalie hii fursa kwenye mifuko midogomidogo ya kupimia sukari, unga, chipsi nk | humu naiona pesa mjadara uwishe leteni machine na bei zake tufanye tathmini hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
C lzm kuanza na machine,u cn start small kwa kutengeneza kwa mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembelea machinga complex. Kuna mifuko ya kaki ya kila aina na size tofauti.IPO mpaka yenye mshikio.ila pei take IPO juu kuliko ya plasticsje. Hizi karatasi zenu ni kwa ajili ya kufungia chipsi kavu na mishkaki tu ama hata kichani kimoja cha ndizi bukoba, maembe na nyanya zinabeba.
ama nyie mnaangalia kufungia chipsi tu!!
Miaka ya zamani kabla ya mifuko ya plastic kua maarufu,hii mifuko ya karatasi ilikua inatengenezwa sana,tena manual tu!
Mahitaji ni mifuko mitupu ya cement,gundi ya maji na kisu cha kukatia,unachukua mifuko ya cement unatoa zile layer mbili za juu coz zinakua chafu,pia unatoa layer ya ndani,ile mifuko huja na layer za karatasi nyingi tu,sijui kwa mifuko ya cement ya siku hizi inakujaje,
So,zamani mifuko hiyo ya karatasi ilitengenezwa sana tu mitaani,ila sina uhakika kuhusu usalama wake wa kiafya kwa kubebea hasa vyakula.