faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Sidhani nilikuwa nawaona watoto wa Singida wazuri kweli nikaenda huko nilijuta...Sio wengi tu, Ni wengi lakini pia ni wazuri mno,
Mabinti wa kiiraki hawatambui neno hapana wao ni chapa ilale.
Usisahau pia UKIMWI ni mwingi kuliko wilaya yeyote katika mkoa huo!
Mitumba iko wapi broo, kutokuwepo super market ndio frusa yenyeweWekeza kwenye radio station vilivyobaki usipoteze muda utarudi na machozi mabinti ni zaidi ya wadangaji mitumba ipo ya kutosha cjui umetembelea wap kuhusu supermarket kubwa bado mchangayiko sio mkubwa sana wa makabila
Sidhani nilikuwa nawaona watoto wa Singida wazuri kweli nikaenda huko nilijuta...
Wazuri kila sehemu ni wakutafuta tafuta sana tena ukute aliye free hajazaa na mtulivu ni issue sanaManyara hutajutia
Wazuri kila sehemu ni wakutafuta tafuta sana tena ukute aliye free hajazaa na mtulivu ni issue sana
Manyara haina population kubwa mpaka kuwe na uwepo wa vitu hivyo....Lakini kwa uwezo wake kuna vitu vya kitofauti zaidi ambavyo kama hujavielewa utakuja kuumia ukienda na biashara yako.
Radio Manyara ipo BABATI....Radio Habari Njema ipo MBULU
Daladala zipo za kwenda sehemu nyingi tu kama Bonga,Dareda,Riroda,Galapo,Magugu na sehemu nyingi tu...hauezi leta daladala itakayobeba watu kutoka stand mpk gendi au nangara au mkoani ndo maana biashara ya bajaji na boda boda imeshamiri sana mkoa huu...ungeniambia uongeze idadi ya bajaji ningekuelewa
Huezi eka show room ya magari babati...mji hauna watu wenye uwezo wa kununua magari kiivo, watu wengi ni wa kipato cha kati na chini...
Nguo za mitumba hazitoki kwa kuwa watu wa Manyara wana tamaduni ya kwenda minadani kuanzia tarehe 16 Galapo na kuisha tarehe 26 Babati hapo unazunguka sehemu mbali mbali kama Riroda, Bonga, Kiru, Magugu, Dareda Center na Mission, Endasaki, Endanachani, Gidas...kwahy huezi fungua frem ukauza mtumba utaishia kuzivaa mwenyew...pia kuna kitu inaitwa top 200 ni maarufu sana babati na ndo nguo za mtumba zinavyouzwa babati...
Vinga'muzi havivumi Babati kwa sababu kuna cable networks kama Manyara Cable Network (MCN) (90000/= Tshs) na Babati Cable Network (Aviti) (80000/=) ambayo ni bei rahisi kushinda hata hivyo ving'amuzi
Wanawake wapo wengi nakuunga mkono...ni wewe tu...desirii wa kiiraq ata ukimpa tabasamu zuri tu unamla hana shida ata.
Nadhani hujafanya research vizuri ndani ya huu mji....ulikurupuka kutoa uzi huu
NAWASILISHA,
ASANTE.
Mkuu unaelewa maana ya neno Frusa?Manyara haina population kubwa mpaka kuwe na uwepo wa vitu hivyo....Lakini kwa uwezo wake kuna vitu vya kitofauti zaidi ambavyo kama hujavielewa utakuja kuumia ukienda na biashara yako.
Radio Manyara ipo BABATI....Radio Habari Njema ipo MBULU
Daladala zipo za kwenda sehemu nyingi tu kama Bonga,Dareda,Riroda,Galapo,Magugu na sehemu nyingi tu...hauezi leta daladala itakayobeba watu kutoka stand mpk gendi au nangara au mkoani ndo maana biashara ya bajaji na boda boda imeshamiri sana mkoa huu...ungeniambia uongeze idadi ya bajaji ningekuelewa
Huezi eka show room ya magari babati...mji hauna watu wenye uwezo wa kununua magari kiivo, watu wengi ni wa kipato cha kati na chini...
Nguo za mitumba hazitoki kwa kuwa watu wa Manyara wana tamaduni ya kwenda minadani kuanzia tarehe 16 Galapo na kuisha tarehe 26 Babati hapo unazunguka sehemu mbali mbali kama Riroda, Bonga, Kiru, Magugu, Dareda Center na Mission, Endasaki, Endanachani, Gidas...kwahy huezi fungua frem ukauza mtumba utaishia kuzivaa mwenyew...pia kuna kitu inaitwa top 200 ni maarufu sana babati na ndo nguo za mtumba zinavyouzwa babati...
Vinga'muzi havivumi Babati kwa sababu kuna cable networks kama Manyara Cable Network (MCN) (90000/= Tshs) na Babati Cable Network (Aviti) (80000/=) ambayo ni bei rahisi kushinda hata hivyo ving'amuzi
Wanawake wapo wengi nakuunga mkono...ni wewe tu...desirii wa kiiraq ata ukimpa tabasamu zuri tu unamla hana shida ata.
Nadhani hujafanya research vizuri ndani ya huu mji....ulikurupuka kutoa uzi huu
NAWASILISHA,
ASANTE.
Kuna 95.3 Smile Fm pia kwenye daladala wengi walishajaribu sana lakini wakaishia kusitisha huduma hiyo kutokana na kukosa abiria wengi wanapanda bajaji na bodaboda92.2 haipo tena, nilifanya uchunguzi nikaambiwa imefungwa kwa takribani miezi 7 iliyo pita, Hivyo manyara Hakuna radio wala TV, so hyo ni frusa
Nimegundua akili yako ni finyu af huijui Babati vizuri we ni wa kuja tena kichwa kichwa...kingine comment yangu point ipo mwanzoni kabisa na hujaielewa ndo maana umeng'ang'ana kusema fursa ipo fursa ipo...usidanganye watu humu utawafelisha...nimezaliwa babati, nimekua babati cdhani kama hivyo vyote unavyovisema cvijuiMkuu unaelewa maana ya neno Frusa?
Mimi hua sikurupuki kuleta uzi bila kufanya utafiti ,Kwanza kitendo cha kusema kwamba Babati Hakuna watu wanao weza kununua magari kwa kigezo kwamba Hakuna watu wengi lakini pia "Eti "uwezo wao ni mdogo, bro hiyo ni dharau kwa sehem.
Lakini pia Dala dala nilizo zungumzia sio za masafa marefu km wewe ulivyo taja Kiru, Magugu nk, Nimemanisha Town to sawe, town to Kwere, town to Negamsii, Town to maisaka, town to Kwa Bomboo Nk. Kwako umeona haiwezekani ila ndio maana ya Frusa ,km bajaji zinafanya kazi hyo basi Dala dala zina weza pia
Kuhusu uwepo wa Minada sio sababu kwamba watu wakijitokeza kuuza kwa wingi mitaani kwamba watu hawata nunua
Nenda mikoani tu ndo utajua kwamba pamoja na uwepo wa minada bado nguo zinauzika mitaani
So hapo kwenye minada, ndipo penye frusa ya kuuza nguo kila siku mitaani
,watu wanavaa za dukani coz mitumba haiuzwi kila siku.
Karibu kigoma tutigite!
Kuna 95.3 Smile Fm pia kwenye daladala wengi walishajaribu sana lakini wakaishia kusitisha huduma hiyo kutokana na kukosa abiria wengi wanapanda bajaji na bodaboda
Naona umechangia hoja kwa hasira Sana, bila Shaka wewe ni mkazi wa maisaka.Nimegundua akili yako ni finyu af huijui Babati vizuri we ni wa kuja tena kichwa kichwa...kingine comment yangu point ipo mwanzoni kabisa na hujaielewa ndo maana umeng'ang'ana kusema fursa ipo fursa ipo...usidanganye watu humu utawafelisha...nimezaliwa babati, nimekua babati cdhani kama hivyo vyote unavyovisema cvijui
Ueke dala dala ya town maisaka wakati wanaotoka maisaka kuja town kwa siku hata 50 hawafiki utaenda trip ngapi? Wakati wa bajaji au boda boda ata elf 10 tu ya abiria wa maisaka au uko unakokusema wewe hapati
Maduka mengi ya mitumba babati yamekufa kutokana na tamaduni ya minada na top 200...unataka kusema watu wa babati ni wachovu sana mpk wasijue kuna fursa ya kuuza mitumba?...pita maeneo ya zilipokuwa nyumba za national housing zamani kuna watu wanauza nguo za mitumba pale kawaulize kwa siku wanauza nguo ngapi? Af nenda mnadani ukajionee utofauti wake...
Ishu ya magari asilimia kubwa ya magari yaliyopo babati wamiliki wake ni watumishi wa serikali au wamiliki wa kampuni za mabasi na wafanyabiashara wachache sana...magari yenyewe yamechoka...unaeza ukakaa ata dakika kumi usione gari limepita wangekuwa na uwezo ci kungekuwa na jam babati
Umekurupuka kutoa uzi narudia tena UMEKURUPUKA KUTOA UZI hauijui BABATI vizuri umezurura tu kujua mapungufu yake lkn hujataka kujua wanatumia alternative gan kuziepuka hizo changamoto...
Usichukie mimi kukuprove wrong unataka kupoteza watu kwa kitu ambacho hukijui...ndo maana nakwambia tena umekurupukaNaona umechangia hoja kwa hasira Sana, bila Shaka wewe ni mkazi wa maisaka.
Ningekuwa nimekurupuka usinge toa mchango wako wa mawazo. By the way karibu Sana Kigoma Ingo tutigite
Njoo uungane na waha wenzako mjini ukakopeshe wamama mitaaniNaona umechangia hoja kwa hasira Sana, bila Shaka wewe ni mkazi wa maisaka.
Ningekuwa nimekurupuka usinge toa mchango wako wa mawazo. By the way karibu Sana Kigoma Ingo tutigite
Usichukie mimi kukuprove wrong unataka kupoteza watu kwa kitu ambacho hukijui...ndo maana nakwambia tena umekurupuka
Hujafanya research yoyote kwa ulichokisema kwenye uzi wako
Nimekutolea mfano na nimekutajia pia kuna Radio Manyara 92.1 na wewe ulivyo muongo unasema eti imefungiwa...labda wewe ndo umeifungiaInaonekana hilo neno kukurupuka unalipenda sana, Hakuna mtu ambae atakuja kuwekeza bila kufanya utafiti wake, By the way kwangu Mimi nilicho kiona ni frusa kwangu, wala sihitaji unibishie kwa kile ninacho kiamini,
Inawezekana kile ninacho kiona ni tofaufi na unacho kiona.
Mimi nilizungumzia Radio (Babati) wewe unasema kuna Radio ya mbulu,
Huoni kwamba hatuelewani?