Kwenu Singida?Mkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefulia
Nikikwambia mm nilishawahi kuuziwa mche wa sabuni kwa kudhani kuwa ni Simu Portugal hutaamini sababu unadhania wazungu ni miungu watu!hii staili ya kuuziana miche ya sababu nilipigwa na wazungu Euro 100,kipindi BlackBerry zipo kwenye chatiNimeshangaa diaspora anajiita muuza simu used, sijui alikua anaziuzia huko mbele while wazungu wanacheza na brand new.
Hapana mkuu!sema nataka nikajifiche mikoa ya kinyongeKwenu Singida?
Kumbe ukitoa Mozambique, SA pia kuna Japan?Labda ni jina tu...ila thread zake zinajikanganya.
Mtoa mada kwanini ulirudishwa Japan mkuu wangu tuambie tujielimishe.
Braza umeizunguka dunia si mchezo, endelea kutupa maneno.Nikikwambia mm nilishawahi kuuziwa mche wa sabuni kwa kudhani kuwa ni Simu Portugal hutaamini sababu unadhania wazungu ni miungu watu!hii staili ya kuuziana miche ya sababu nilipigwa na wazungu Euro 100,kipindi BlackBerry zipo kwenye chati
Tanzania mikoa yote imekaa kichovu chovu hata dar asilimia kubwa ni kuchovu tu ukitoa POSTA OYSTERBAT MASAKI sehemu zilizobaki za wachovu tuKm tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
hoteli ya kitalii kwa milioni 5?Biashara inayolipa kama Una Mtaji nikujenja hoteli yakitalii Karibu na Ziwa Kindai,Maana Sirikali itakapohamia Dodoma Ziwa Kindai itakua mahali pakwenda kupunga upepo Wanene
hoteli ya kitalii kwa milioni 5?Biashara inayolipa kama Una Mtaji nikujenja hoteli yakitalii Karibu na Ziwa Kindai,Maana Sirikali itakapohamia Dodoma Ziwa Kindai itakua mahali pakwenda kupunga upepo Wanene
hahah kweli mkuu mimi ni mzoefu wa singida ukifika unishtueHapana mkuu!sema nataka nikajifiche mikoa ya kinyonge
Anaweza kuwashawishi wenye Ukwasi yeye akapata hisa kwa sababu ndo mwenye wazohoteli ya kitalii kwa milioni 5?
Nilipata viza fresh lakini ilikuwa ya ujanja ujanja lakini nilivyokuja airport tukawekwa pembeni mm pamoja na raia wawili kutoka Bangladesh tukakaguliwa nadhani walihisi labda nimebeba madawa ya kulevya baada ya hapo nikaanza kuhojiwa sikuwa na sababu zilizowaridhisha kukaa Japan
Acha ulofa,Singida sio mji wa wanyonge, nj center ya nchi ambayo kwa sasa ipo connected vizuri na barabara za lami na imechangamka vizuri. Sio Singida uliyoiona mwaka 2004. Nakhshauri kwa lengo lako hilo kajifiche kwenu mkuu.Hapana mkuu!sema nataka nikajifiche mikoa ya kinyonge
Una uhakika na unachosema?mbona Le mutuz alikuja na dola 500 kutoka marekani na alikaa miaka 30 sasa hivi ni milionea? maisha hayana formula
Chezea JF weweUkitoka bongo ukiwa na fantasy maisha mbele ni bwerere mshiko nje nje kama biko utaishia pabaya.
Toka bongo na notion ya kubadilisha mazingira ya utafutaji au na malengo ya kuishi nchi fulani..
Ila huyu jamaa naona mzinguaji ila atanisahihisha. amekaa South 10 years bila kutoka then uzi wa nyuma yake anakuambia anauza simu used yupo Msumbiji????
Poahahah kweli mkuu mimi ni mzoefu wa singida ukifika unishtue
Kwetu siwezi kwenda mkuu!watanipiga mizinga ya hapa na pale nitafulia kiurahisiAcha ulofa,Singida sio mji wa wanyonge, nj center ya nchi ambayo kwa sasa ipo connected vizuri na barabara za lami na imechangamka vizuri. Sio Singida uliyoiona mwaka 2004. Nakhshauri kwa lengo lako hilo kajifiche kwenu mkuu.
Mkuu Japan ni nchi ngumu Sana kuingia kizembe!mfano mm nilikuwa na visa ya tourist lakini show money hata 400usd ilikuwa haifiki,kuhusu maswali ni kama vile nilishtukizwa tu sababu sikuweka akilini kwamba hilo litatokea!mimi nilidhani ukishapata tu viza Africa basi amemaliza mchezo unaingia tu kama home,nadhani walihisi kama nimebeba madawa sababu nilikuwa nimevaa kibaharia buti kubwa bonge la jinsi(mapigo ya kipindi hicho)na uchovu wa safari ulichangia nilikuwa nimechoka balaa imagine 16hours upo anganiNatamani saana kujua undani wa hili saana sema haupo straight kunipa story nzima... maswali gani uliulizwa? Visa ilikuwa ya nini[tourist,business n.k]?
Kwanini walikuhisi umebeba ngada?
Vipi wewe ni mzoefu katika biashara hiyoMfano mm naweza chukua milion moja nikawekeza kwenye kununua magunia ya alzet mwezi wa 5 wanauza mpaka 30000 alafu unayapiga store mwezi wa kumi unauza kwa 70mpaka 60 alafu hiyo nyingine unaanza na nguo za wadada na wamama dukan ukishauza alzet faida unaweka dukani mtaji unahamisha kwenye biashara ya mahindi ni mwendo wa nafaka tu lakin lazma ufanye research ya masoko kwanza
Ila kumbuka No1 billionaire anatokea singida kwa hio acheni kusingizia mazingira mjasiriamali yeyote hutafuta mazingira yenye changamoto kubuni fursa karibu singida mkuu, ila kua makini na aina ya watu utakao chagua kua nao karibu.Km tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
Njoo Iramba anzisha kilimo cha ukweli, Hardware ya maana pia nzuri.Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku