Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Ila kumbuka No1 billionaire anatokea singida kwa hio acheni kusingizia mazingira mjasiriamali yeyote hutafuta mazingira yenye changamoto kubuni fursa karibu singida mkuu, ila kua makini na aina ya watu utakao chagua kua nao karibu.
Kuna watu wa aina gani huko mkuu?
 
Kama unadhani Singida ni 5m umepotea, baki tu huko huko maana utakuja ufe bila watu kujua kwa sababu ya njaa.
 
Wema Sepetu ni mwanasingida mwenzenu, mkirudi na mapesa yenu msisite kumshirikisha kwenye hii mission yenu.
 
Kuna watu wa aina gani huko mkuu?
Hata singida kuna watu wanapenda vya bure na starehe pia na kumbuka maisha kwa sasa ni magumu ukiwa mtu wa totoz ndo utazika mtaji na utaanza upya, usikae singida mjini nenda vijijin kwa kuanzia unaweza kwenda vijijin kama maeneo ya Nkalakala, Mwanga Malaja Kinyambuli, anza kununua mazao safirisha kwenda kahama komaa mwenyewe Solon utapata faida kidogi itakayo kuwezesha kusish bila kula mtaji wakati unasubiria msimu wa kununua alizeti uweke store, msimu ukifika gawa mtaji nunua alizeti weka Store nyingine endelea kuzungusha nunua na kuuza ili usije kula mtaji kikubwa usije jichanganya ukaanza kula mtaji
 
Mkuu vp kuhusu kijiji cha Iguguno nasikia sio mbali na town?
 
mkuu kwa Singida biashara nzuri ni kuuza nafaka mfano mahindi, mchele, maharage....unajua singida ni kukame zao pekee wanalotegemea ni alizeti na karanga kidogo,,,,biashara ya nafaka inalipa nguo sikushauri sana Singida hawahusudu sana uvaaji
Huo ushauri wa kizee, Njoo tukuonyeshe kilimo cha zaidi ya hicho unachowaza wewe. Chuki zenu dhidi ya mkoa wetu tumestuka! Huko kwingine kila mwaka wanaomba chakula cha msaada hamsemi kubaya ila singida??? Mpaka mwaka huu wengine Pombe Kawaambia wafe tu na njaa maana serikali haina shamba, hukusikia Singida ikilia njaa.
 
Singida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
 
Singida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
Mkuu yawezekana nakujua tujetupeane maujuz pm ya kinampanda
 
Sio mbali na town nikweli na bei zake pia haziachani na za town ndo maana nikashauri aende ndani zaidi
Ndani zaidi mkuu[emoji2]!kweli nitapata hata internet nipate kuleta feedback hapa Jf?
 
Vijiji vyote nilivyokutajia vina 3g ya Halotel na watumiaji wa internet bado ni wachache ni wachache so don't worry
Mkuu nataka kujua zaidi kuhusu Iguguno kama unapafahamu vizuri na fursa zake pia
 
Singida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
Si mnasema pakame, hapalimiki-unafanya nini tena huko sasa mkuu?? Kinampanda ndio home hapo. Karibu sana. Tarehe 8 nitakuwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…