Hata singida kuna watu wanapenda vya bure na starehe pia na kumbuka maisha kwa sasa ni magumu ukiwa mtu wa totoz ndo utazika mtaji na utaanza upya, usikae singida mjini nenda vijijin kwa kuanzia unaweza kwenda vijijin kama maeneo ya Nkalakala, Mwanga Malaja Kinyambuli, anza kununua mazao safirisha kwenda kahama komaa mwenyewe Solon utapata faida kidogi itakayo kuwezesha kusish bila kula mtaji wakati unasubiria msimu wa kununua alizeti uweke store, msimu ukifika gawa mtaji nunua alizeti weka Store nyingine endelea kuzungusha nunua na kuuza ili usije kula mtaji kikubwa usije jichanganya ukaanza kula mtaji