Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Si mnasema pakame, hapalimiki-unafanya nini tena huko sasa mkuu?? Kinampanda ndio home hapo. Karibu sana. Tarehe 8 nitakuwa hapo
nani kasema hapalimiki?.... Singida panalimika zaidi alizeti kwa sababu alizeti ni zao linalostahimili sana ukame na baadhi ya maeneo yanalimika mahindi mfano kinampanda.., lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba singida ni kukame.....
 
Singida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
Umetisha... Hongera sana
 
Nahitaji kujua ni sehemu gani wanalima vitunguu kwa umwagiliaji nikatafute eneo nilime.. Asanteni sana
 
Kweli alizeti sasa imepanda nasikia bei ya Lita 20 mafuta ni 80th... So ni biashara nzuri kama mtu una hela ya kununua wakati wa kuvuna
 
Kweli alizeti sasa imepanda nasikia bei ya Lita 20 mafuta ni 80th... So ni biashara nzuri kama mtu una hela ya kununua wakati wa kuvuna
Wakat wa kuvuna gunia elf 30 mwez wa 5 lakin mwez wa 12 elf 70 mpka 80
 
Sio kwamba hakuna pesa wakati mwingine watu huwa wanajisahau sana, hata uwe unaingiza pesa kiasi gani kama huna nidhamu ya pesa ni kazi bure tu
 
Wakat wa kuvuna gunia elf 30 mwez wa 5 lakin mwez wa 12 elf 70 mpka 80
Aisee... Fursa nzuri sana.. Mtu ukiweza nunua japo gunia 100 unapata faida ya kununulia grisi kulegeza vyuma
 
Iguguno pako vizuri nimepita hapo leo wakati natoka kinampanda pako vizuri kwa kuanzia...km kama 15 kutoka singida mjini
Kama ni km15 tu kutoka mjini very interested! Kujisokomeza kwa ndani Sana nisingependelea Sana!ningefurahi Sana kama ningepata mdau kutoka pale anifahamishe zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…