nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Mnajua nyie mbwa ni wasenge sana??Singida labda uuze chakula tu, mkoa wa ajabu ule
Km tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajua nyie mbwa ni wasenge sana??Singida labda uuze chakula tu, mkoa wa ajabu ule
Km tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
haina shida tupeane tu maujuzi ya kinampanda mkuu wangu huu inawezekana tukatoboa tulegeze hivi vyuma vilivyokazaAvatar yangu imefanyaje tena
nani kasema hapalimiki?.... Singida panalimika zaidi alizeti kwa sababu alizeti ni zao linalostahimili sana ukame na baadhi ya maeneo yanalimika mahindi mfano kinampanda.., lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba singida ni kukame.....Si mnasema pakame, hapalimiki-unafanya nini tena huko sasa mkuu?? Kinampanda ndio home hapo. Karibu sana. Tarehe 8 nitakuwa hapo
KmmyMnajua nyie mbwa ni wasenge sana??
Iguguno pako vizuri nimepita hapo leo wakati natoka kinampanda pako vizuri kwa kuanzia...km kama 15 kutoka singida mjiniMkuu nataka kujua zaidi kuhusu Iguguno kama unapafahamu vizuri na fursa zake pia
Haya we lijibwa jisengeMnajua nyie mbwa ni wasenge sana??
Unataka kujua nini specifically?Mkuu nataka kujua zaidi kuhusu Iguguno kama unapafahamu vizuri na fursa zake pia
Umetisha... Hongera sanaSingida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
Asante sana nitafurahi sana.. Nipo singida mjini napambana kulegeza vyumaNimepasahau kwa jina lakin nimeshafika kuna pesaa sana ngj nimtafute mtu nitakupa mrejesho
Wakat wa kuvuna gunia elf 30 mwez wa 5 lakin mwez wa 12 elf 70 mpka 80Kweli alizeti sasa imepanda nasikia bei ya Lita 20 mafuta ni 80th... So ni biashara nzuri kama mtu una hela ya kununua wakati wa kuvuna
Mkuu angalia matumizi ya hilo neno utashtakiwa....Hata huku vyuma vimekaza mkuu
Sio kwamba hakuna pesa wakati mwingine watu huwa wanajisahau sana, hata uwe unaingiza pesa kiasi gani kama huna nidhamu ya pesa ni kazi bure tuUkitoka bongo ukiwa na fantasy maisha mbele ni bwerere mshiko nje nje kama biko utaishia pabaya.
Toka bongo na notion ya kubadilisha mazingira ya utafutaji au na malengo ya kuishi nchi fulani..
Ila huyu jamaa naona mzinguaji ila atanisahihisha. amekaa South 10 years bila kutoka then uzi wa nyuma yake anakuambia anauza simu used yupo Msumbiji????
Aisee... Fursa nzuri sana.. Mtu ukiweza nunua japo gunia 100 unapata faida ya kununulia grisi kulegeza vyumaWakat wa kuvuna gunia elf 30 mwez wa 5 lakin mwez wa 12 elf 70 mpka 80
Sahihi kabisaSio kwamba hakuna pesa wakati mwingine watu huwa wanajisahau sana, hata uwe unaingiza pesa kiasi gani kama huna nidhamu ya pesa ni kazi bure tu
Kama ni km15 tu kutoka mjini very interested! Kujisokomeza kwa ndani Sana nisingependelea Sana!ningefurahi Sana kama ningepata mdau kutoka pale anifahamishe zaidiIguguno pako vizuri nimepita hapo leo wakati natoka kinampanda pako vizuri kwa kuanzia...km kama 15 kutoka singida mjini
Nataka kujua tu kuhusu hali halisi ya mazingira ya biashara kwa paleUnataka kujua nini specifically?