Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu wanatoboa nawaona ila hawataki kusema wametoboaje. sasa nahitaji mawasiliano ya HR ili iwe rahisi .
Msaada tafadhali, au kama unajuana na HR wa hotel nyingine mitaa ya PAJE nijuze pia maana ela ya dalali sijapata.
Msaada tafadhali, au kama unajuana na HR wa hotel nyingine mitaa ya PAJE nijuze pia maana ela ya dalali sijapata.