Fursa Trainee Zanzibar

Fursa Trainee Zanzibar

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu wanatoboa nawaona ila hawataki kusema wametoboaje. sasa nahitaji mawasiliano ya HR ili iwe rahisi .
Msaada tafadhali, au kama unajuana na HR wa hotel nyingine mitaa ya PAJE nijuze pia maana ela ya dalali sijapata.
 
Mkuu unatafuta kutapeliwa ingia website yao tafuta email, tengeneza wasifu wako wakibabe(mzuri competition ni kubwa) watumie ikiwezekana omba na appointment alafu MLINZI kazi yake ni usalama sio lazima umuelezee kinachokupeleka wee mwambie nimekuja ninashida binafsi na uongozi, sometimes mavazi unadhifu ni muhim vaa kiheshima piga kiwa nywele fupi JIAMINI...Nakutakia kila la heri katika kusaka tonge
 
Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu wanatoboa nawaona ila hawataki kusema wametoboaje. sasa nahitaji mawasiliano ya HR ili iwe rahisi .
Msaada tafadhali, au kama unajuana na HR wa hotel nyingine mitaa ya PAJE nijuze pia maana ela ya dalali sijapata.
Hizo nafasi siku hizi zinauzwa bila pesa hakuna kitu utapata
 
Back
Top Bottom