Wadau naomba wenye data kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti wanijuze.
The following should b included.
1.upatikanaji wake i.e location
2.Market yake kwa hapa Dar
3.Profit margin ikoje
Thanx waheshimiwa
==========================================
Maswali mengine kutoka kwa wadau
The following should b included.
1.upatikanaji wake i.e location
2.Market yake kwa hapa Dar
3.Profit margin ikoje
Thanx waheshimiwa
==========================================
Maswali mengine kutoka kwa wadau
Habari zenu wanaJF!
Ninataka kuanza kufanya biashara ya mafuta ya alizeti, niwe nnatoa mafuta mkoani napeleka mijini, mfano Dar, sasa shida yangu ni kuwa bado sina link na wanunuzi wa hayo mafuta!
Naomba yeyote ambaye anaweza akanipatia link au akaniunganisha na watu wanaonunua haya mafuta ili iniwezeshe kuanza hii biashara.
Mtaji ni mdogo ila kama ntapata wanunuzi wengi ntakusanya nguvu na kuongeza mtaji kukuza biashara.
Natanguliza shukrani.
Habari wadau..nataka kuanza biashara ya kuuza mafuta ya alizeti, mpango wangu ni kuchukua mafuta kwenye viwanda vidogo vidogo singida au dodoma...na kuyapeleka mwanza na dar, ambapo nitakuwa nauza kwa jumla na rejareja....
naombeni msaada wenu kwa anayejua bei ya mafuta kwenye viwanda hivyo kwa 1lt, 3lt, 5lt au 10 lt na pia kwa atayenielekeza mahali viwanda vilipo atanisaidia sana...mbali na hayo nakaribisha wazoefu wa hii biashara kwa ushauri....mimi ni mlw nayesubiri ajira ambazo hazieleweki hivyo nimeamua kuwa na mawazo ya kujiajiri
natanguliza shukrani