Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Mimi ningepata mkomoro tuwe tunamalizana nae kibiashara...awe anakuja kubeba huku mimi namkusanyia nampa bila bei ya usafiri...sitaki safari zisizo na uhakika za majini.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
akishafika uku my dear hatataka umuuzie na yy ataenda kwenye source mwenyewe akanunue ..mfano halisi ng'ombe wacomoro wanaenda wenyewe mapaka minadan vijijin uko itakuwa hapo k/koo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini serikali isifuatilie hizi fursa ,inazubaaa wakati fursa zimeonekana.. serikali ingefacilitate hii movement ya goods,labda huku kungekua na ka kampuni ambacho kwa wachuuzi wa huku wanaweza kuwa first contact/access ambapo wangepata information zote kuhusu kusafirishe pengine hii kampuni ipelekewe vitu kutoka kwa wafanya biashara au wakulima,pia huko Commoro kuwe na Mtu wa hii kampuni anayepokea goods kutoka Tanzania..mbona sio kazi?
 
mzee baba usijiloge kupeleka nyama Comoro,peleka wanyama hai,wale ni waislamu wanata kuchinja wenyewe.
 
You sound very tasteful....though iam hesitating to say this is a trap.....
 
Kuna kipindi meli mpya ya SMZ ilikua inaenda comoro mara 1 kwa mwezi sifahamu kama kwa ssa bado wanaendelea ila nilishapakia gari kupeleka moroni na tatizo lingine ni bandari yao kule haina kina kirefu kuruhusu meli kubwa ku-dock pale..
 
Thank you.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wana matatizo makubwa sana.nahisi wana vailas ndani ya damu.
Matatizo ni kama ifuatayo.
1)wanafki,wafitini.yupo tayari kukualibia sehemu ya kazi.yupo tayari akudanganye ile upoteze malengo yako,na mdu Mali.
2)mtanzani ukimshika mkono popote pale rakini jua IPO siku atakufanyia kitu ambacho ujafikiria.
3)mtanzani mkalimu sana rkn ni MTU hatari (sinlent killa)
4)mtanzania muoga kusafiri,hawezi kujitoa kutafuta maisha nnje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee baba usijiloge kupeleka nyama Comoro,peleka wanyama hai,wale ni waislamu wanata kuchinja wenyewe.
Nafikiri changamoto ni logistics za usafirishaji. Mbona Brazil wanapeleka nyama na sio live animal?
 
Mkuu naomba unichek watsup 0654171555
 
Mkuu fanya kunieka apo na mimi japo silimi iliki naweza kuwa na mtaji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo mkuu nikitokea bongo nipitie Zanzibar ndo nafika Comoro kirahis?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mkuu kufahamu culture ya sehemu husika inakuwa rahisi kujua ni namna gani utafanya nao biashara ..

Enewei kama nikitaka kupeleka mf sukari labda mifuko kadhaa nikifikisha utaratibu wa kupata wateja unakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…