Wadau Kwema??
Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia member huyu kwa jina la ONTARIO ni kati ya Jf members wachache walioitangaza fursa hii kwa kiwango kikubwa sana, pamoja na Davion Delmonte Jr. .
Sasa mimi nina wazo moja kwa huyu member, kwa kua tayari una ofisi basi ungeweza kufanya kitu kifuatacho. Kuwe na session kila siku ambapo watu huja pale ofisini kwako na Laptop zao ku-trade kwa muongozo wako hata kwa kiingilio fulani. Watu wengine ni wagumu kuelewa ukiwaambia wakasome lakini wakija pale kwako ukawaambia buy $, sell GBP, buy Yen, sell Euro, etc kisha mpaka jioni wanaangalia wamepata kiasi gani, kisha wanakuachia chako itakua poa sana.
Maana kuna watu wengi nimejaribu kuwagusia hii fursa inakua kama ngumu kwao, lakini wanataka wapate mtu wa kuwaelekeza kuuza na kununua tu mpaka pale watakapoelewa wenyewe soko linaendaje. Watu hawa wanakosekana katika darasa la ONTARIO sababu washajiwekea kua Forex Business ni ngumu kwao, ingawa mitaji na vitendea kazi wanavyo.
Kiingilio (Fees) kinaweza kikawa ni Fixed regardless ya mtaji wa Member/Participant au yaweza kua %ge fulani ya faida atakayopata, ingawa hapa panaweza kua pagumu sababu itahitajika kujua Member/Participant alianza na mtaji kiasi gani asubuhi na Kumaliza na Kiasi gani then faida. Pia fees hii yaweza kua kwa wiki au mwezi.
Hii nayoishauri au kuipendekeza hapa haihusiani kabisa na lile darasa analofundishaga, bali hii ni kwa ajili ya ku-trade tu.
Nawasilisha