Fursa ya Forex; Ushauri Wangu kwa Bw. Ontario

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Wadau Kwema??

Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia member huyu kwa jina la ONTARIO ni kati ya Jf members wachache walioitangaza fursa hii kwa kiwango kikubwa sana, pamoja na Davion Delmonte Jr. .

Sasa mimi nina wazo moja kwa huyu member, kwa kua tayari una ofisi basi ungeweza kufanya kitu kifuatacho. Kuwe na session kila siku ambapo watu huja pale ofisini kwako na Laptop zao ku-trade kwa muongozo wako hata kwa kiingilio fulani. Watu wengine ni wagumu kuelewa ukiwaambia wakasome lakini wakija pale kwako ukawaambia buy $, sell GBP, buy Yen, sell Euro, etc kisha mpaka jioni wanaangalia wamepata kiasi gani, kisha wanakuachia chako itakua poa sana.

Maana kuna watu wengi nimejaribu kuwagusia hii fursa inakua kama ngumu kwao, lakini wanataka wapate mtu wa kuwaelekeza kuuza na kununua tu mpaka pale watakapoelewa wenyewe soko linaendaje. Watu hawa wanakosekana katika darasa la ONTARIO sababu washajiwekea kua Forex Business ni ngumu kwao, ingawa mitaji na vitendea kazi wanavyo.

Kiingilio (Fees) kinaweza kikawa ni Fixed regardless ya mtaji wa Member/Participant au yaweza kua %ge fulani ya faida atakayopata, ingawa hapa panaweza kua pagumu sababu itahitajika kujua Member/Participant alianza na mtaji kiasi gani asubuhi na Kumaliza na Kiasi gani then faida. Pia fees hii yaweza kua kwa wiki au mwezi.

Hii nayoishauri au kuipendekeza hapa haihusiani kabisa na lile darasa analofundishaga, bali hii ni kwa ajili ya ku-trade tu.

Nawasilisha
 
kama hawawezi kusoma vitabu bora waache tu waendelee na ishu nyingine....forex bila kusoma vitabu hutaiweza
 
ushauri mzuri ila kutafuniwa so kuzuri wasome alafu waondoe ule mchcheto iyo kuwapa signal sawa ni nzuri ila ni lawama mwingine anaweza akawa na shida zake sa akaweka lot saiz 0.25 kwa a/c ya 100$ ikafutika ndan ya dk moja Ontario atamrdishia?? au ndo atasema utapeli Ontario kanitapeli?? Forex IPO na kila MTU atatrade
[HASHTAG]#THE[/HASHTAG] BLUE FOREVER
 
duh yaani watafuniwe tena na kutemewa midomoni?
mi naona kama mtu ni slow learner bora asijishughulishe na hii kitu maana mwisho wa siku atamuona ONTARIO mchawi
 
Sasa kwa mfano mnaenda pale halafu mtaalamu anawambia nunu hii kwa kiasi hiki, halafu unapoteza hela zako zote,hapoitakuwaje?

Maana hiyo market inavyoenda hata wataalamu wa Wall St. huwa wanakosea.

Inabidi kuelewana hapo kwanza kabla ya kushikana mashati baadaye.

Isije kuwa wengine wakawekeza hela za boom la chuo, kodi za nyumba na hata urithi halafu zikapotea wakanza kulaumu.
 
Wazo si baya sana ila haujazungumza ni watu wa aina gani hao ambao wanahitaji tu kupewa Signals.

Kimsingi Forex haitaki kurahisishwa kama hivyo unavyotaka, moja ya pre requisite ya Forex ni kusoma vitabu neno kwa neno na ufasaha na ulewe hasa, sasa watu wanataka njia fupi katika Forex sidhani kuwa hicho ni kitu sahihi.

Pili unatakiwa uwe tayari kupoteza kiasi ambacho hakita athari maisha yako sasa kuna watu wanafikiri katika Forex kuna fedha za kuchota na kuondoka wala hawafikirii kuwa kuna wakati unapata hasara kama biashara nyingine hapo ndo tatizo lilipo.

Nawasilisha
 
Majibu ya Ontario

Boss nashukuru sana kwa huu ushauri, very short and sweet, very constructive in deed.

Kuna vitu vingi sana ambavyo vipo ndani ya mipango yetu, ndio kwanza tumeanza, nahisi hii ni wiki ya 3. Tuna miaka mingi sana ya kuendelea kukua positively.

Soon tutafungua trading lounge

Hapa kutakua na huduma zote trader anahutaji, lounge yote itazungukwa na screens za news, charts, analysis, updates nk. Kutakua na mentors na pia tutajitahidi kila ijumaa ya kwanza ya mwezi kumleta trader makini kutoka sehemu yoyote dunuani ili tutrade nae NFP. Kutakua na kiingilio kidogo cha watu kuchangia AC, coffee, internet, service charge na umeme. It's gonna be very interesting, One of it's own kind in Africa.

Region tours

Kwa sasa tuna office Dar pekee yake, kitu kinachotuumiza ni kua tuki_stick hapa pekee yake ina maana hii knowledge itakua locked mkoa mmoja, sasa tumefikiria kabla hatujafungua office mikoa mingine, tuwe tunafanya tour mkoa kwa mkoa. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa, tutazunguka mikoa yote.
Kwa sasa tunafikiria kuanza na Mwanza week ijayo, Kisha Arusha, Mbeya na Dodoma.

Account Management

Bado hatujaanza, lkn tunaandaa infrastructure kwa ajili ya kumanage accounts za watu wengine. Kuna watu, taasisi, makampuni nk ambao wana capital kubwa, lkn hawana trading skills and knowledge, wala hawahitaji kujifunza. So tutaingia mkataba wa kutrade pesa zao, kwa makubaliano ya kushare profits kila mwisho wa mwezi.

Swahili Version

Tupo kwenye mchakato wa kuwaandaa walimu ambao baadae watatoa mafunzo kwa lugha mama ya kiswahili. Binafsi naandaa kitabu kuhusu forex ambacho kitakua kwa lugha ya kiswahili. Na from the bottom of my heart, I will provide it for 100% free, sitajali nitatumia gharama kiasi gani kukipublish, lkn nitahakikisha watu wanakipata bila kulipia chochote.

Kuna kitu kikubwa nakipanga... kwasasa lazima nikiri kuwa nipo busy sana, lkn nikitulia nitaanza mchakato. Nafikiria kuongea na developers wa meta trader 4 na meta trader 5 waweze kuweka option ya kucustomize platform iwe na lugha ya kiswahili.

College learning syllabus

Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.

Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.

supporting other forex institutions

Mimi kuna wanafunzi wangu, hua wanakuja ofisini wananiambia Jeff, kuna majamaa wengine wanafanya mnachokifanya, wanafundisha watu forex hadi kwa laki 5... Hua nawauliza, kwani kuna ubaya gani?? Why not??

Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport Ili watanzania wengi zaidi waipate hii elimu. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.

Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done
 
in forex there is a lot more than just to be told BUY GBP/USD or sell AUD/USD kusoma ni jambo ambalo haliepukiki kwenye forex na ili uifaidi forex unatakiwa uwe na uwezo wa kutengeneza profit not less than a million in a week( ni makadirio tu ) na hapa tunasema wewe ni proffessional trader sasa basi ii kufikia level hiyo (ku master forex) huna budi kusoma hata kama itachukua mwaka au miaka but you have to...wazo zuri labda ungesema kwa wale watakaofikia level ya kutengeneza profit consistently waanzishe shule/institute kwa ajili ya kufundisha forex na wafundishe kama vile unamfundisha mtoto wa chekechea hata kama itachukua 3years but it worth taking ukilinganisha na hii elimu ya kayumba mtu unaspend miaka 15 shuleni (from std 1 to university) na bado ukitoka hapo huna direction ya maisha. swala lingine la muhimu ni kufanya mabadiliko/mapinduzi makubwa kwenye mitaala ya elimu tuwe updated kwa wale wanaosoma banking and finance , syllabus ziwe revised na kuhakikisha kwamba mwanafunzi akimaliza chuo anajua ku trade forex practically and make money out of it ( KITU AMBACHO ONTARIO TAYARI AMESHAKIONGELEA NA AMESHAKIWEKA KWENYE PLAN ZAKE) ila ukisema watu waende pale ofisini halafu wasubiri kuambiwa SELL...BUY... that will be waste of time and resource kwanza jamaa yupo bizi sana sidhani kama atapata huo muda ...kama wewe umebahatika kuifahamu hii fursa basi uwe balozi mzuri (it begins with you) wafundishe watoto wako ,mke wako, wadogo zako, baba yako, mama yako , na house girl wako pia na bila kusahau ndugu jamaa na marafiki fundisha kwa kadri uwezavyo kila mtu akifanya hivi sehemu alipo ndani ya miaka miwili au mitatu nchi itapiga hatua kubwa sana ...usiishie kusema 'angefaya hivi..." au "serikali ifanye hivi...." wewe utafanya nini? do something asee. hata biblia inasema ibaada huanzia nyumbani IT BEGINS WITH YOU. ila usisahau forex is not for everyone
#TMT#Fornoreason
 
Wadau Kwema??

Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia member huyu kwa jina la ONTARIO ni kati ya Jf members wachache walioitangaza fursa hii kwa kiwango kikubwa sana, pamoja na Davion Delmonte Jr. .

Sasa mimi nina wazo moja kwa huyu member, kwa kua tayari una ofisi basi ungeweza kufanya kitu kifuatacho. Kuwe na session kila siku ambapo watu huja pale ofisini kwako na Laptop zao ku-trade kwa muongozo wako hata kwa kiingilio fulani. Watu wengine ni wagumu kuelewa ukiwaambia wakasome lakini wakija pale kwako ukawaambia buy $, sell GBP, buy Yen, sell Euro, etc kisha mpaka jioni wanaangalia wamepata kiasi gani, kisha wanakuachia chako itakua poa sana.

Maana kuna watu wengi nimejaribu kuwagusia hii fursa inakua kama ngumu kwao, lakini wanataka wapate mtu wa kuwaelekeza kuuza na kununua tu mpaka pale watakapoelewa wenyewe soko linaendaje. Watu hawa wanakosekana katika darasa la ONTARIO sababu washajiwekea kua Forex Business ni ngumu kwao, ingawa mitaji na vitendea kazi wanavyo.

Kiingilio (Fees) kinaweza kikawa ni Fixed regardless ya mtaji wa Member/Participant au yaweza kua %ge fulani ya faida atakayopata, ingawa hapa panaweza kua pagumu sababu itahitajika kujua Member/Participant alianza na mtaji kiasi gani asubuhi na Kumaliza na Kiasi gani then faida. Pia fees hii yaweza kua kwa wiki au mwezi.

Hii nayoishauri au kuipendekeza hapa haihusiani kabisa na lile darasa analofundishaga, bali hii ni kwa ajili ya ku-trade tu.

Nawasilisha
Good idea but hii ingefanywa kwa wale ambao wameshahudhuria mafunzo pale kwa sababu taarifa zao zipo ofisini na wanatambulika na ofisi kama hujahudhuria mafunzo usiruhusiwe halafu isiwe kila siku kwa sababu italemaza watu na hata hivyo itakuwa ni nzuri kama wadau wote ambao wanaokuwepo wanafanya analysis kwa pamoja na sio kutajiwa tu wewe ufanye sell or buy all in all ni idea nzuri.
Wataalamu wa JF naombeni mumtag Ontario aweze kuona haraka huu uzi
 
College learning syllabus

Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.

Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.

Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart
Hii itakua imewasaidia sana maana kuna jamaa wako humu wana mpaka CPA (refer tol jf) lakini anakwambia forex ni gambling na mtu huyu huyu ameisoma chuoni lakini hajui forex ni kitu gan!!!
 
Majibu ya Ontario

Ni ngumu but BET on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it
Najua umeandika BET kwa bahati mbaya maana ulipaswa kuandika trade on me!
supporting other forex institutions

Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.
Hiki kipande kimenishawishi kuandika kidooogo! Yaani trader ana trade na kupata profit bado una doubt kuwa hawezi kuwa na fedha za ku-expand trade zake?
It is like you own capital.

Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart
. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done
It is also true that no one embrace death until he or she is dead.

Wengine tunashawishika kujibu baada ya kusoma tambo.
Mengine mtupiage kwa pm
 
Guys you are really impressive and so much respect what you share with us just simply with no reason!

Keep it up mkuu ONTARIO and your team. Live your value and be there for good and for Long run!
 
kama hawawezi kusoma vitabu bora waache tu waendelee na ishu nyingine....forex bila kusoma vitabu hutaiweza
ushauri mzuri ila kutafuniwa so kuzuri wasome alafu waondoe ule mchcheto iyo kuwapa signal sawa ni nzuri ila ni lawama mwingine anaweza akawa na shida zake sa akaweka lot saiz 0.25 kwa a/c ya 100$ ikafutika ndan ya dk moja Ontario atamrdishia?? au ndo atasema utapeli Ontario kanitapeli?? Forex IPO na kila MTU atatrade
[HASHTAG]#THE[/HASHTAG] BLUE FOREVER
duh yaani watafuniwe tena na kutemewa midomoni?
mi naona kama mtu ni slow learner bora asijishughulishe na hii kitu maana mwisho wa siku atamuona ONTARIO mchawi
Ahsanteni Wakuu,
Point yangu ilikua watu hawa wangeweza kuja kuilewa Forex baadae kadiri wanavyo trade kila siku,
Lakini pia hii kitu inakua kama Product anayo offer ONTARIO.
Hapa Mjini sio kila mtu anaweza kufanya kila kitu, ndio maaana kuna huduma nyingi sana maalumu kwa wale wasioweza kufanya kitu fulani na watu wanalipia, maisha yanaenda na mtoa huduma anapata chake.
 
HAMJATOSHEKA KUWACHAKACHUA WATU MPAKA MTAFUTE MBINU NYINGNE? KUWENI NA HURUMA.
 
Majibu ya Ontario

Boss nashukuru sana kwa huu ushauri, very short and sweet, very constructive in deed.

Kuna vitu vingi sana ambavyo vipo ndani ya mipango yetu, ndio kwanza tumeanza, nahisi hii ni wiki ya 3. Tuna miaka mingi sana ya kuendelea kukua positively.

Soon tutafungua trading lounge

Hapa kutakua na huduma zote trader anahutaji, lounge yote itazungukwa na screens za news, charts, analysis, updates nk. Kutakua na mentors na pia tutajitahidi kila ijumaa ya kwanza ya mwezi kumleta trader makini kutoka sehemu yoyote dunuani ili tutrade nae NFP. Kutakua na kiingilio kidogo cha watu kuchangia AC, coffee, internet, service charge na umeme. It's gonna be very interesting, One of it's own kind in Africa.

Region tours

Kwa sasa tuna office Dar pekee yake, kitu kinachotuumiza ni kua tuki_stick hapa pekee yake ina maana hii knowledge itakua locked mkoa mmoja, sasa tumefikiria kabla hatujafungua office mikoa mingine, tuwe tunafanya tour mkoa kwa mkoa. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa, tutazunguka mikoa yote.
Kwa sasa tunafikiria kuanza na Mwanza week ijayo, Kisha Arusha, Mbeya na Dodoma.

Account Management

Bado hatujaanza, lkn tunaandaa infrastructure kwa ajili ya kumanage accounts za watu wengine. Kuna watu, taasisi, makampuni nk ambao wana capital kubwa, lkn hawana trading skills and knowledge, wala hawahitaji kujifunza. So tutaingia mkataba wa kutrade pesa zao, kwa makubaliano ya kushare profits kila mwisho wa mwezi.

Swahili Version

Tupo kwenye mchakato wa kuwaandaa walimu ambao baadae watatoa mafunzo kwa lugha mama ya kiswahili. Binafsi naandaa kitabu kuhusu forex ambacho kitakua kwa lugha ya kiswahili. Na from the bottom of my heart, I will provide it for 100% free, sitajali nitatumia gharama kiasi gani kukipublish, lkn nitahakikisha watu wanakipata bila kulipia chochote.

Kuna kitu kikubwa nakipanga... kwasasa lazima nikiri kuwa nipo busy sana, lkn nikitulia nitaanza mchakato. Nafikiria kuongea na developers wa meta trader 4 na meta trader 5 waweze kuweka option ya kucustomize platform iwe na lugha ya kiswahili.

College learning syllabus

Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.

Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.

supporting other forex institutions

Mimi kuna wanafunzi wangu, hua wanakuja ofisini wananiambia Jeff, kuna majamaa wengine wanafanya mnachokifanya, wanafundisha watu forex hadi kwa laki 5... Hua nawauliza, kwani kuna ubaya gani?? Why not??

Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport Ili watanzania wengi zaidi waipate hii elimu. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.

Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done
Ahsante Mkuu wangu,
Nimekuelewa sana,
Wajua kua watu wanatamani sana hizi vitu ila sasa vichwa vyao au muda wa kuja kujifunza ndio tatizo,
Angalau kwa baadae uwe na various packages/products/services ili ku fit members/customers wa aina mbali mbali my brother. Hii itawasaidia various members/customers kufaidi huduma zako, lakini pia hata nawe utajiongezea kipato Mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom