Fursa ya huduma ya uwakala wa mitandao na benki.

Mkuu sikuhizi ni rahisi sana kucheza na pesa ndogo mana mawakala tunapunguziana pesa ...
Kwa mfano mimi nina zaidi ya watu watatu nikitaka float au cash ni simu tu ko sio lazima ukae na pesa nyingi
Akija mteja wa kuweka unaomba flots kwa rafiki we ni kukaa na cash zaidi..
Ni kweli ila kwa dar tigo na airtel ndio zinatamba voda sio sana
 
Mkuu sikuhizi ni rahisi sana kucheza na pesa ndogo mana mawakala tunapunguziana pesa ...
Kwa mfano mimi nina zaidi ya watu watatu nikitaka float au cash ni simu tu ko sio lazima ukae na pesa nyingi
Akija mteja wa kuweka unaomba flots kwa rafiki we ni kukaa na cash zaidi..
Tena siku hz wakala mkuu anakuwa na group kabsa whatsapp....mambo yanaenda sema commision tu ndio shida
 
Back
Top Bottom