Mkuu sikuhizi ni rahisi sana kucheza na pesa ndogo mana mawakala tunapunguziana pesa ...
Kwa mfano mimi nina zaidi ya watu watatu nikitaka float au cash ni simu tu ko sio lazima ukae na pesa nyingi
Akija mteja wa kuweka unaomba flots kwa rafiki we ni kukaa na cash zaidi..