FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE)
Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online.
VIGEZO NA MASHARTI.
1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30.
2. Awe na smartphone au laptop.
3. Awe na utayari (active) wakati wote wa kazi.
4. Awe tayari kufanya kazi akiwa nyumbani au popote anapoona panamfaa.
5. Awe anajua kuchambua habari za wasanii wa Tanzania.
6. Awe active kutafuta, kuchambua na kuposti habari YouTube Channel.
7. Ajali na kuzingatia muda wa kazi.
MALIPO.
Malipo yatakuwa ni 30% ya jumla ya kazi (content) alizofanya kwa mwezi.
MUHIMU
1. Bidii
2. Muda
3. Kazi Bora
Tuma ombi lako (jina kamili, mahali ulipo, picha yako) pamoja na samples ya kazi zako kwenye Whatsapp namba: +255 623 582 579