Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
- Thread starter
- #41
Njoo inboxMkuu Negrodemus nimefarijika sana na habari hizi, nimeamua kwa hiyari yangu kumuandikia mkurugenzi wa Lindi barua ya kuomba ekari 3 zakuanzia.
Lakini wasi wasi wangu sio mjuvi sana wa kilimo hiki. Kwa hizi ekari 3 nahitajika kua na mbolea aina zipi na kwa kiwango gani?
Nikipata na gharama itanifaa sana, nataka kuja kuweka kambi kabisa nifungashe Pesa yakutosha.