ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
- Thread starter
- #21
Hao sina, kama unamfahamu mnunuzi wa Jumla wa bidhaa nilizozitaja unaweza nisaidia mawasiliano yake.Napenda sana seafood. Nataka papa, hauna?
Natanguliza shukrani.
Hao sina, kama unamfahamu mnunuzi wa Jumla wa bidhaa nilizozitaja unaweza nisaidia mawasiliano yake.Napenda sana seafood. Nataka papa, hauna?
Hapana kiongozi sina, nikajua una papa maana nilikua nahitaji sana papaHao sina, kama unamfahamu mnunuzi wa Jumla wa bidhaa nilizozitaja unaweza nisaidia mawasiliano yake.
Natanguliza shukrani.
Sawa, karibu tena.Hapana kiongozi sina, nikajua una papa maana nilikua nahitaji sana papa