Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

Joined
Dec 21, 2023
Posts
96
Reaction score
183
Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini!

Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025

Kwa maelezo zaidi nicheki Whatsapp +255789448533

Tendwe kilele cha mlima Kilimanjaro!

 
Nina haja sanaaa....ila 1.7m jan mmmm basi sawa
 
Hapo nyinyi kwenye 1.7mil faida yenu (Cha juu) kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…