Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Then ikawaje mkuu?Tuliwahi kuwa na Mpango na JF kuwasaidia/kuwezesha wanaJF tupande kwa pamoja.
Ingetugharimu Only 900k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then ikawaje mkuu?Tuliwahi kuwa na Mpango na JF kuwasaidia/kuwezesha wanaJF tupande kwa pamoja.
Ingetugharimu Only 900k.
Kupanda Mlima Kilimanjaro ni fursa nzuri kwa Watanzania kwa sababu inaweza kuongeza uchumi wa eneo husika. Pia, inaweza kuwa chanzo cha ajira kwa watu wa eneo hilo kama vile waongozaji watalii, wapishi, na wafanyakazi wa hoteli. Kijiografia, inasaidia kukuza utalii na kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi. Kupanda Mlima Kilimanjaro pia inaweza kuchangia katika kuhamasisha Watanzania kujivunia utamaduni wao na kuthamini maeneo ya asili ya Tanzania.Mkuu kiliexperience naomba kujua faida za kupanda hiyo milima mrefu, au is just a hobby or fantacy
Tuna faida ndogo sana mkuu kwasababu utalii wa mlima unalipia kila kitu ndio maana umakini huwa unaitajika ila mtu akiyumba hata kidogo tu basi hata faida itapoteaHapo nyinyi kwenye 1.7mil faida yenu (Cha juu) kiasi gani?
Sasa mpango unaanza rasmi na wakipatikana kuanzia watu 50 basi bei lazima itapungua sanaTuliwahi kuwa na Mpango na JF kuwasaidia/kuwezesha wanaJF tupande kwa pamoja.
Ingetugharimu Only 900k.
Wakiwa zaidi ya watu 20 mpaka laki 9 tunaenda zetu kileleni bossMkuu mambo vipi?
Big Up sana
Hamasisha kupanda kama kundi hapo gharama zinaweza kushuka hadi 1M kwa kuanzia na Watu 10.
Tafuta watu 10 wakupe million million.
Watu wanapenda kupanda ila gharama ndio changamoto.
Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini!
Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025
Kwa maelezo zaidi nicheki Whatsapp +255789448533
Tendwe kilele cha mlima Kilimanjaro!
Bodi ya Organization ilikataaThen ikawaje mkuu?
Okay... Ila lilikua jambo jema sana but am sure walikataa baada ya kuangalia factor zote na kuona labda kutakua na tatizo pahala.Bodi ya Organization ilikataa
Yeah!Okay... Ila lilikua jambo jema sana but am sure walikataa baada ya kuangalia factor zote na kuona labda kutakua na tatizo pahala.