Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

Hii ni sawa na kukukopesha kwa riba kwa sababu kama mwaka ukiisha na changu kimeisha hapo sio uwekezaji huo kwa sababu hela niliyotoa bado itakuwa inaendelea kuzalisha na ipo kwenye mzunguko wenu.

Hapo ni ujanja tu unaotumika bora muende bank mkakope ili muendeleze hiyo biashara yenu wewe na mume wako lakini hii ya kutaka kutumia lugha ya kuwekeza mtawapata wale wasiojua nini maana ya kuwekeza.
 
Si riba. Ni biashara ambayo ni minimum risk. Unaweza kuongeza mtaji wakati wowote kabla au baada ya kumaliza mwaka ikiwa biashara bado ipo.

Sisi biashara tunazowekeza ni za muda mfupi, kama vile kununuwa machimbo ya mchanga na kuchimbisha mchanga. Eka moja ya mchanga inachimbwa kwa wiki tatu inakwisha.

Unaweza kujikuta pesa zako zimerudi zote kabla ya mwaka haujaisha lakini tunaweka mwaka mmoja kuwa ni maximum ili na sisi kujipunguzia risks.

Banks tunazijuwa lakini hatutaki kujiingiza huko, kwanini tuchukuwe bank wakati bank wanangoja mimi na wewe tukaweke pesa huko ili wawakopeshe wengine kwa faida?

Uwekezaji wa muda mfupi.
 
Kwa wale walioulizia kwa simu na PM, vifuatavyo itabidi uje navyo kwa kuandikiana mkataba:

Picha zako mbili na za warithi wako wawili.

Kopi ya kitambulisho chako na warithi wako.

Asanteni.
 
Bi Zainab,

Asalaam Alaikum.

Count me in. Ntakutumia pesa kwa njia ileeee. I'll start with 2M in 3 days time.

In sha Allah itakuwa kheir.

Umesharudi bi kizee? ninakupigia sana simu yako sikupati.
 
Umesharudi bi kizee? Ninakupigia sana simu yako, sikupati.

Not yet but In sha Allah soon, kibaridi kimenishinda huku. Namba ile ya TZ sasa hivi haipatikani, mpaka nikirudi, will call you. Lakini pesa zangu utapata before I come, nimeshawaambia wakutumie. See you soon.

*Nyooo, kizee mimi au wewe? Na wewe JF wamekuingiza mujini? ST.
 
Asante kwa ujumbe. Mimi niliwahi kufika nyumbani kwako Sinza hivyo nakufahamu kwa kiasi fulani.

Kuhusu hii plan, samahani, hii sio Riba? Na kama Riba, wewe ninayekujua ni muumini mtiifu kindaki ndani wa dini ya amani dini ya Kiislam, ni sawa?
 
Asante kwa ujumbe. Mimi niliwahi kufika nyumbani kwako Sinza hivyo nakufahamu kwa kiasi fulani.

Kuhusu hii plan, samahani, hii sio Riba? Na kama Riba, wewe ninayekujua ni muumini mtiifu kindaki ndani wa dini ya amani dini ya Kiislam, ni sawa?

Si riba. Ni biashara ambayo ni minimum risk. Unaweza kuongeza mtaji wakati wowote kabla au baada ya kumaliza mwaka ikiwa biashara bado ipo.

Sisi biashara tunazowekeza ni za muda mfupi, kama vile kununuwa machimbo ya mchanga na kuchimbisha mchanga. Eka moja ya mchanga inachimbwa kwa wiki tatu inakwisha.

Unaweza kujikuta pesa zako zimerudi zote kabla ya mwaka haujaisha lakini tunaweka mwaka mmoja kuwa ni maximum ili na sisi kujipunguzia risks.

Banks tunazijuwa lakini hatutaki kujiingiza huko, kwanini tuchukuwe bank wakati bank wanangoja mimi na wewe tukaweke pesa huko ili wawakopeshe wengine kwa faida?

Tunavyofanya hakuna tofauti na islamic banking.

Uwekezaji wa muda mfupi.
 
Hii fursa nzuri sana.....sasa sisi ambao tupo mikoani utaratibu wenu ukoje???

Tunakutumia mkataba kwa email, una sign na kuurudisha kwetu kwa njia ya mabasi, ukiwa na picha mbili zako pamoja na picha mbili mbili za warithi wako wawili. Na pesa tunatumiana kwa TiGopesa.
 
sawa nshawasiliana na mzee Abduli ,,ntakuja hapo kuangalia mnavyoendesha shughuli zenu ,,,ili tufanye huo utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…