Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Mawasiliano!!!! Unapatikana vp ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh cjui nijitose
Mawasiliano!!!! Unapatikana vp ?
Hii ni sawa na kukukopesha kwa riba kwa sababu kama mwaka ukiisha na changu kimeisha hapo sio uwekezaji huo kwa sababu hela niliyotoa bado itakuwa inaendelea kuzalisha na ipo kwenye mzunguko wenu.
Hapo ni ujanja tu unaotumika bora muende bank mkakope ili muendeleze hiyo biashara yenu wewe na mume wako lakini hii ya kutaka kutumia lugha ya kuwekeza mtawapata wale wasiojua nini maana ya kuwekeza.
Vipi kuhusu dawa ya upara bado unayo?
Bi Zainab,
Asalaam Alaikum.
Count me in. Ntakutumia pesa kwa njia ileeee. I'll start with 2M in 3 days time.
In sha Allah itakuwa kheir.
Umesharudi bi kizee? Ninakupigia sana simu yako, sikupati.
Asante kwa ujumbe. Mimi niliwahi kufika nyumbani kwako Sinza hivyo nakufahamu kwa kiasi fulani.Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.
Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.
Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52
Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000
*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605
Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.
Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.
Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.
Asanteni.
Asante kwa ujumbe. Mimi niliwahi kufika nyumbani kwako Sinza hivyo nakufahamu kwa kiasi fulani.
Kuhusu hii plan, samahani, hii sio Riba? Na kama Riba, wewe ninayekujua ni muumini mtiifu kindaki ndani wa dini ya amani dini ya Kiislam, ni sawa?
Hii fursa nzuri sana.....sasa sisi ambao tupo mikoani utaratibu wenu ukoje???
kwa nin umpe mtu akuwekezee pesa..... ubovu wa fikra
kwa nin umpe mtu akuwekezee pesa..... ubovu wa fikra
Kijana elimu yako ni ya kusomea ujinga. Hebu jitulize kama unanyolewa, tuwache wenye kuwekeza tuwekeze. Unajuwa maana ya kuwekeza wewe?
Punguani wahed.