Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #301
Hakika rafikimshana hii kitu ni ya uhakika au
basi nami niunge kwenye hiyo list
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika rafikimshana hii kitu ni ya uhakika au
basi nami niunge kwenye hiyo list
hata mm pia mkuu usinisahau
Sio ushauri mbaya pia ndugu!Punguza ujuaji. Usidhani unachojua wewe wengine hawajui. Mimi naongelea uhalisia on the ground ulivyo na sio hizo stori za utafiti. Kijana kajibana 5m yake halafu aende kuzipoteza kwenye nauli na malazi ili tu kuiona China? Halafu akitoka China anaanza upya kutafuta mtaji. Mimi ninawasihi vijana wenye chini ya 5m waendelee kupambana mitaji ikue na huko China wataenda tu kilaini bila kujilazimisha.
Generation best SI unajua tenakabisa yaani mpaka unashangaa sijui imekuwaje mana enzi zile tulikuwa tunaweka mambo ya kujifunza zaidi
kabisa acha tuwaangalie wanafikia wapiGeneration best SI unajua tena
Kizazi kingine hiki
Mimi mwenyewe mzee sana tu.hahahaaaaaaa watu wa kitambo sana sie enzi zile tuko jambo huwezi kutufahamu kwa sasa tushazeeka
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10 na wasiozidi 20.. Faida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu
. Kupata tickets kwa bei nafuu
. Malazi ya pamoja ya bei nafuu uwapo huko
. Usafiri wa bei nafuu
. Ukalimani
. Mtandao wa maduka ya jumla makubwa na madogo
.Kupata connection mbalimbali za wafanyabiashara na wazalishaji wa China
. Gharama nafuu za chakula, vinywaji matembezi nknk
. Gharama nafuu na za uhakika za kusafirisha mizigo kurudi nchini..
Hii ni fursa mpya na wale watakaoweza kwenda ndio watafungua pazia kwa wengine huko mbeleni
Yale mambo ya kuagiza online ama kumuagiza mtu na kuishia kutapeliwa sasa yanafika mwisho.. Lakini vilevile kununua kitu kwa picha nayo yamafikia ukomo wake
Nitaweka mawasiliano rasmi kwa wale wote walio tayari.. Dirisha la waendaji litafungwa wiki ya pili ya mwezi February siku ya wapendanao
Nyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Rfk Ako sikuhizi anashinda Twitter na IG 😅kabisa acha tuwaangalie wanafikia wapi
Kumbe hata wanakijiji wana haki ya kuamini kuwa mimi nina akili sana kama hata magreat thinker kama wewe unanifananisha na mkuu Mshana Jr basi niseme nini zaidi ya kujiita genius .Habari kaka mshana.
Sina mtaji kabisa Niko hapa tayari kwa fursa hiyo ya mali kauli itakapowadia
Nimekupigia sana hupokeinaomba ntumie naomba zako boss tuongee au naomba nipigie 0769158987
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mshana heshima yako tafadhariNaomba link ya hilo group la telegram......ili isilete usumbufu Naomba unipm
Update kwa ufupi
Mpaka sasa walio confirm safari wenye passport ni watano! Wengine wana nia lakini bado hawana hii nyaraka muhimu
Ofisi zetu zilikuwa Dar wilaya ya Ubungo lakini tunazihamishia Kibaha mkoa wa Pwani wiki hii, hii ni kutokana na kupata kibali cha ushirikiano toka mamlaka husika! Hivyo kuanzia sasa si jambo la kupeleka watu China tu bali sasa ni Platform ya kutengeneza fursa za kibiashara na uwekezaji toka upande mbili za Tanzania na China
Hivyo basi kuanzia next week ofisi zetu zitakuwa ndani ya NEW KIBAHA SHOPPING MALL hivyo shughuli zote za safari zitafanyika hapo
Ofisi zitakuwa mkabala na kituo cha mabasi cha ujenzi
Mambo muhimu kwa ajili ya safari
1. Hati ya kusafiria.. (Passport)
2. Barua ya mwaliko (okay kwetu kwa Gharama husika)
3. Booking ya ndege na ikiwezekana malipo ya ticket
4. Booking ya hotel/pa kufikia (hiyo itatoka kwetu)
5. Cash deposit bank (utakayoenda kununulia mzigo na kuishi)
6. Inawezekana ikahitajika TIN na leseni nk kwa ajili ya visa
7. Gharama zote hizo zitakuwa juu ya msafiri lakini ni gharama nafuu sana na zenye usaidizi wa mamlaka
Sent using Jamii Forums mobile app
✅👏👏👏🙏Duh, hongera aisee
Sasa wenye akili hii ni Wachache sn
Na watakakuelewa hapa Wachache, wengi wanaangalia faida ya pesa kwanza!
Mi Nina roho ngumu😅,nilienda SA (jorbeg) na basi ,ila nilirudi Kwa ndege na nilijifunza vitu kibao ile nataka nianze mishe ndo COVID ikaingia mipaka ilafungwa Kila kitu kikaharibika....😅
Mi kwakweli nikipata nauli na kulala naenda sitakosa kujifunza kitu chochote,bongo exposure Bado sana ..
Barua ya mwaliko inalipiwa huu utapeliFaida ya safari hii ya pamoja
.Kupata barua ya mwaliko kwa bei nafuu