Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Sio ushauri mbaya pia ndugu!
Ni mzuri
So mtu aangalie uwezo wake
 

Confirmed. Na ukinisahau nakuroga!!
 
Habari kaka mshana.

Sina mtaji kabisa Niko hapa tayari kwa fursa hiyo ya mali kauli itakapowadia
Kumbe hata wanakijiji wana haki ya kuamini kuwa mimi nina akili sana kama hata magreat thinker kama wewe unanifananisha na mkuu Mshana Jr basi niseme nini zaidi ya kujiita genius .

Mkuu limeisha hilo mkuu Mshana Jr atakuwa ameona na yeye sasa ajue anaye pacha anayeitwa mimi kiakili

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Update kwa ufupi
Mpaka sasa walio confirm safari wenye passport ni watano! Wengine wana nia lakini bado hawana hii nyaraka muhimu

Ofisi zetu zilikuwa Dar wilaya ya Ubungo lakini tunazihamishia Kibaha mkoa wa Pwani wiki hii, hii ni kutokana na kupata kibali cha ushirikiano toka mamlaka husika! Hivyo kuanzia sasa si jambo la kupeleka watu China tu bali sasa ni Platform ya kutengeneza fursa za kibiashara na uwekezaji toka upande mbili za Tanzania na China
Hivyo basi kuanzia next week ofisi zetu zitakuwa ndani ya NEW KIBAHA SHOPPING MALL hivyo shughuli zote za safari zitafanyika hapo

Ofisi zitakuwa mkabala na kituo cha mabasi cha ujenzi

Mambo muhimu kwa ajili ya safari
1. Hati ya kusafiria.. (Passport)
2. Barua ya mwaliko (okay kwetu kwa Gharama husika)
3. Booking ya ndege na ikiwezekana malipo ya ticket
4. Booking ya hotel/pa kufikia (hiyo itatoka kwetu)
5. Cash deposit bank (utakayoenda kununulia mzigo na kuishi)
6. Inawezekana ikahitajika TIN na leseni nk kwa ajili ya visa
7. Gharama zote hizo zitakuwa juu ya msafiri lakini ni gharama nafuu sana na zenye usaidizi wa mamlaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba link ya hilo group la telegram......ili isilete usumbufu Naomba unipm
Mshana heshima yako tafadhari
Watu wengi wanaweza kukuona unaitikadi za kitaperi
Lakini ni moja ya mabrother wako humble Sana humu
Na mwepesi Sana kusaidia inaweza kua si kwakukupa chochote lakini namna yakusikiliza shida unajua Sana brother
naomba nikutext normal text msaada wako kujiunga group hilo la Whatsapp
Nakumbuka ulinipa namba bila wasiwasi respect kubwa kwako
 

Nimo kati ya hao watano? Mimi ninavyote.
 
βœ…πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…