ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
mbona pm yakko imefungwa naomba niunge kwenye hilo group la telegram mkuu nami nataka kuwepo katika hiyo safari niko serious mkuu halafu kule pwani investment simu ilipata shida ikaharibika kipindi nilipatwa na msiba yaani nilivurugikiwa mkuu nisaidie kuniunga huko telegram
IG ndo wapi huko mbona sikujui mna deal na nini hukoIla mi Twitter niliacha ,Niko IG
Acha basi , Instagram jmnIG ndo wapi huko mbona sikujui mna deal na nini huko
wewe nawe haya bwana ila utakwenda china mm nataka niende ila sasa Mshana Jr ajaniunga kwenye hilo group lake namuomba sana nijue updatesAcha basi , Instagram jmn
Wakongwe sshv huku naona wameona sio km zamani
Jmnwewe nawe haya bwana ila utakwenda china mm nataka niende ila sasa Mshana Jr ajaniunga kwenye hilo group lake namuomba sana nijue updates
kopa best maana mm naingia kwenye mkopo nikipata ya nauli nitaenda halafu nitaingia mali kauli na mshanajrJmn
Natamani best ila hiyo hela sidhani Kwa hii interval nitakuwa nimepata
Nikishindwa nitaenda safari nyingine
Umeshawahi kusafiri? Acha kuropokaBarua ya mwaliko inalipiwa huu utapeli
Vipodozi
Mmh ujue hapo unaongelea 3milkopa best maana mm naingia kwenye mkopo nikipata ya nauli nitaenda halafu nitaingia mali kauli na mshanajr
Hizi gharama sio mbaya. Very fair. Ila hapo namba 5 kweli haiwezi pungua 300k... angalau 500k. Ninawashauri wale ambao hawataenda kwa wakati huu wahamasike kutafuta passport kwanza ili siku wakijiweza wasitaabike kuanza kutafuta passport. Wajanja wote hutafuta passport wakati ambao hawana uhitaji wa kusafiri. Mimi nilitafuta passport enzi ninalala chini kwenye godoro bila kitanda. Nilikuwa na imani kubwa kuwa ipo siku nitaanza kusafiri na kweli miaka minne baadae ndo nikaanza kugonga mihuri.Habarini za muda huu tena
Tumekamilisha taratibu kadhaa za ushirikiano wa kibiashara na mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Pwani na karibuni tutahamia huko na kuweka anuani rasmi na location
Sasa basi kwa wale ambao wana passport tayari naomba waanze kufanya yafuatayo
1. Kufanya booking ya tar 5 march kumekuwa na mabadiliko kidogo ya tarehe ya safari
2. Ndege ni ATCL ya moja kwa moja Guangzhou.. Safari ya masaa 13 nagano non stop
-Ticket ya kwenda na kurudi kwa mwezi huu ni dola 900
3. Gharama za viza ni Tsh 112,000
4. Gharama za barua ya mwaliko ni Tsh 150,000
5. Gharama za kuishi China kwa siku 7 hazitapungua Tsh 300,000 hii ni malazi na milo mitatu
6. Gharama za usafiri na ukalimani zinaweza kuwa bure au kwa Gharama ndogo kulingana na masoko na machimbo
Kwa wale ambao hawana passport lakini wana nia ya dhati ya safari nashauri waanze michakato sasa.. Gharama ya passport ni Tsh 150,000
Tutakuwa na kusanyiko la pamoja wiki ya mwisho ya mwezi huu wa pili kwa wale wote watakaokuwa wamekidhi vigezo vya safari.. Location utakuwa Pwani ya Kibaha
Dondoo muhimu
Niwatie moyo tena kwa wale wenye mitaji midogo isiyopungua milion 5.. Hawatapata hasara na kwa kwenda tu tayari watakuwa wamepiga hatua moja mbele
Kwenye ndege kila abiria anapewa nafasi ya kusafirisha Kilo 25 bure.. Ukifunga mzigo wa vitu rahisi kabisa vya 2.5M na kurudi navyo vitakurudishia pesa yako mara mbili
Mfano ukichukua simu 25 pekee kwa 2.5 huku kuuza 250K zitatembea na kupata zaidi ya 6M
Sasa kuna
Boxer
Chupi za kike
Urembo nknk
Hivi vyote ni fast moving items
Nimetoa mifano michache tuu hapa mengine tukionana ana kwa ana
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana kwa kujali mkuu yaani umenifanya nami nivutike kwenda sasa naomba niunge kwenye group lile la pwani investment nilikuwaga saasa nikapata tatizo la simu mkuu
pm yake haifunguki mm nimetest sijui tutampatajeMawasiliano yako tunakupataje?au tujue pm?
km mtu anataka apeleke biashara yake huko ya ujasiriamali je inaruhusiwa au utaratibu ukoje bestHabarini za muda huu tena
Tumekamilisha taratibu kadhaa za ushirikiano wa kibiashara na mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Pwani na karibuni tutahamia huko na kuweka anuani rasmi na location
Sasa basi kwa wale ambao wana passport tayari naomba waanze kufanya yafuatayo
1. Kufanya booking ya tar 5 march kumekuwa na mabadiliko kidogo ya tarehe ya safari
2. Ndege ni ATCL ya moja kwa moja Guangzhou.. Safari ya masaa 13 nagano non stop
-Ticket ya kwenda na kurudi kwa mwezi huu ni dola 900
3. Gharama za viza ni Tsh 112,000
4. Gharama za barua ya mwaliko ni Tsh 150,000
5. Gharama za kuishi China kwa siku 7 hazitapungua Tsh 300,000 hii ni malazi na milo mitatu
6. Gharama za usafiri na ukalimani zinaweza kuwa bure au kwa Gharama ndogo kulingana na masoko na machimbo
Kwa wale ambao hawana passport lakini wana nia ya dhati ya safari nashauri waanze michakato sasa.. Gharama ya passport ni Tsh 150,000
Tutakuwa na kusanyiko la pamoja wiki ya mwisho ya mwezi huu wa pili kwa wale wote watakaokuwa wamekidhi vigezo vya safari.. Location utakuwa Pwani ya Kibaha
Dondoo muhimu
Niwatie moyo tena kwa wale wenye mitaji midogo isiyopungua milion 5.. Hawatapata hasara na kwa kwenda tu tayari watakuwa wamepiga hatua moja mbele
Kwenye ndege kila abiria anapewa nafasi ya kusafirisha Kilo 25 bure.. Ukifunga mzigo wa vitu rahisi kabisa vya 2.5M na kurudi navyo vitakurudishia pesa yako mara mbili
Mfano ukichukua simu 25 pekee kwa 2.5 huku kuuza 250K zitatembea na kupata zaidi ya 6M
Sasa kuna
Boxer
Chupi za kike
Urembo nknk
Hivi vyote ni fast moving items
Nimetoa mifano michache tuu hapa mengine tukionana ana kwa ana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuchekiasante sana kwa kujali mkuu yaani umenifanya nami nivutike kwenda sasa naomba niunge kwenye group lile la pwani investment nilikuwaga saasa nikapata tatizo la simu mkuu
hii uikumbuke mkuu nimeipenda hiiNyongeza:
Kwa vijana wasio na mishe naweza kuwapa mizigo ya mali kauli kama wakitimiza vigezo na masharti
Connection zitapatikana Chinakm mtu anataka apeleke biashara yake huko ya ujasiriamali je inaruhusiwa au utaratibu ukoje best
daah! mungu nione hitaji langu basi upesi kwa mapenzi yako mambo mazuri kama hivi yananipitaHabarini za muda huu tena
Tumekamilisha taratibu kadhaa za ushirikiano wa kibiashara na mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Pwani na karibuni tutahamia huko na kuweka anuani rasmi na location
Sasa basi kwa wale ambao wana passport tayari naomba waanze kufanya yafuatayo
1. Kufanya booking ya tar 5 march kumekuwa na mabadiliko kidogo ya tarehe ya safari
2. Ndege ni ATCL ya moja kwa moja Guangzhou.. Safari ya masaa 13 nagano non stop
-Ticket ya kwenda na kurudi kwa mwezi huu ni dola 900
3. Gharama za viza ni Tsh 112,000
4. Gharama za barua ya mwaliko ni Tsh 150,000
5. Gharama za kuishi China kwa siku 7 hazitapungua Tsh 300,000 hii ni malazi na milo mitatu
6. Gharama za usafiri na ukalimani zinaweza kuwa bure au kwa Gharama ndogo kulingana na masoko na machimbo
Kwa wale ambao hawana passport lakini wana nia ya dhati ya safari nashauri waanze michakato sasa.. Gharama ya passport ni Tsh 150,000
Tutakuwa na kusanyiko la pamoja wiki ya mwisho ya mwezi huu wa pili kwa wale wote watakaokuwa wamekidhi vigezo vya safari.. Location utakuwa Pwani ya Kibaha
Dondoo muhimu
Niwatie moyo tena kwa wale wenye mitaji midogo isiyopungua milion 5.. Hawatapata hasara na kwa kwenda tu tayari watakuwa wamepiga hatua moja mbele
Kwenye ndege kila abiria anapewa nafasi ya kusafirisha Kilo 25 bure.. Ukifunga mzigo wa vitu rahisi kabisa vya 2.5M na kurudi navyo vitakurudishia pesa yako mara mbili
Mfano ukichukua simu 25 pekee kwa 2.5 huku kuuza 250K zitatembea na kupata zaidi ya 6M
Sasa kuna
Boxer
Chupi za kike
Urembo nknk
Hivi vyote ni fast moving items
Nimetoa mifano michache tuu hapa mengine tukionana ana kwa ana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombeadaah! mungu nione hitaji langu basi upesi kwa mapenzi yako mambo mazuri kama hivi yananipita