Habarini za muda huu tena
Tumekamilisha taratibu kadhaa za ushirikiano wa kibiashara na mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Pwani na karibuni tutahamia huko na kuweka anuani rasmi na location
Sasa basi kwa wale ambao wana passport tayari naomba waanze kufanya yafuatayo
1. Kufanya booking ya tar 5 march kumekuwa na mabadiliko kidogo ya tarehe ya safari
2. Ndege ni ATCL ya moja kwa moja Guangzhou.. Safari ya masaa 13 nagano non stop
-Ticket ya kwenda na kurudi kwa mwezi huu ni dola 900
3. Gharama za viza ni Tsh 112,000
4. Gharama za barua ya mwaliko ni Tsh 150,000
5. Gharama za kuishi China kwa siku 7 hazitapungua Tsh 300,000 hii ni malazi na milo mitatu
6. Gharama za usafiri na ukalimani zinaweza kuwa bure au kwa Gharama ndogo kulingana na masoko na machimbo
Kwa wale ambao hawana passport lakini wana nia ya dhati ya safari nashauri waanze michakato sasa.. Gharama ya passport ni Tsh 150,000
Tutakuwa na kusanyiko la pamoja wiki ya mwisho ya mwezi huu wa pili kwa wale wote watakaokuwa wamekidhi vigezo vya safari.. Location utakuwa Pwani ya Kibaha
Dondoo muhimu
Niwatie moyo tena kwa wale wenye mitaji midogo isiyopungua milion 5.. Hawatapata hasara na kwa kwenda tu tayari watakuwa wamepiga hatua moja mbele
Kwenye ndege kila abiria anapewa nafasi ya kusafirisha Kilo 25 bure.. Ukifunga mzigo wa vitu rahisi kabisa vya 2.5M na kurudi navyo vitakurudishia pesa yako mara mbili
Mfano ukichukua simu 25 pekee kwa 2.5 huku kuuza 250K zitatembea na kupata zaidi ya 6M
Sasa kuna
Boxer
Chupi za kike
Urembo nknk
Hivi vyote ni fast moving items
Nimetoa mifano michache tuu hapa mengine tukionana ana kwa ana
Sent using
Jamii Forums mobile app