Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Hawo watu wameshapatikana hiyo idadi ama Bado maana nakaribia kupokea kiinua mgongo mahali.
 
Mkuu niunge telegram kama hutojali naomba namba yako pm tumalizie taratibu zingine
 
Enendeni mkapate exposure, miongoni mwenu mtakuja kuwa mabalozi wazuri na kuwashika mikono wengine kwa safari zijazo, mbarikiwe, biashara ni ujasiri na kukaza moyo huku akili makini zikitumika, Enendeni mkafanikiwe!
 
Kwa vijana tusio na mishe tunaomba utaratibu wa kunufaika na Hilo jambo? For instance akatokea mtu mwenye Hela ila hana Muda , akaagiza mzigo na sisi tukasimamia biashara baada ya kukidhi vigezo?
 
Kwa vijana tusio na mishe tunaomba utaratibu wa kunufaika na Hilo jambo? For instance akatokea mtu mwenye Hela ila hana Muda , akaagiza mzigo na sisi tukasimamia biashara baada ya kukidhi vigezo?
Inawezekana pia tunakamilisha taratibu za mwisho za kiofisi tuwakaribishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka hiyo ramani ya china bado ipo?
 
Mkuu nitakutafuta naona unaweza kunivusha mahali. Una roho ya dhahabu ambayo watanzania wengi tunapaswa kuwa nayo ili tuinuane.
 
Naomba mawasiliano yako kama hutajali ndugu Mshana Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…