Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

Habarini za leo tena.. Mniwie radhi kwa kuchelewa kuweka haya mawasiliano .. Kumasi leo namba itakayotumika ni hii +255 742 384 888
Ilikuwa ofisi ziwe Kibaha lakini kuna mambo hayajakamilika hivyo kwa maulizo na kutoka kufika utakuwa ni Makutano ya Mtaa wa Lindi na Livingstone Kariakoo
Karibuni tuendelee na michakato safari ya kwanza ni tarehe 5 mwezi wa tatu.. Kwa unafuu wa tickets Tafadhali kafa air Tanzania
Wiki ya mwisho ya February ndio ya kukutana wote
 
Hongera sana kaka Mshana hii ni fursa nzuri sana aiseee

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nakufatilia Sana nyuzi zako!!
Nakukubali Sana..!
 
Updates
Safari yetu ni tarehe 5
Wamejitokeza wenzetu watano ambao mpaka leo hii wameshatimiza vigezo vyote vya safari wengine wawili kesho Inshallah.. Na kuna wengine 6 toka nje ua JF

Changamoto kubwa iliyojitokeza ni maombi ya visa pale ubalozi wa China.. Kuna rushwa ya wazi ubabe na vitisho..na yote haya yanafanywa na watanzania wenzetu.. Tunaangalia namna ya kulitatua hili na kupata ufumbuzi wa kudumu
 
Hivi ukiwa unaenda kufunga mzigo china,Hela unaenda nayo kesho,ama inakuaje? Naomba ufafanuzi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, poleni sana mtani
 
Safari ijayo tutakuwa wote. Ngja nuandae hati za kusafiria Mkuu Mshana Jr

Binafsi ni nipongeze timu nzima ya maandalizi na kwako kama pilot wa hii Idea. Hii inaleta ushirikiano wa kujikwamua kiuchumi sana.

Msisahau kutuletea, Bidhaa moving kwenye soko na bei ya huko. Hayo mengine wasalimieni wachina na waendlee na uchumi wa viwanda
 
[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…