Fursa ya ufugaji wa Nguruwe Kizimkazi Zanzibar

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.

Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.
 
Ha haaa unawatakia wenzio balaa wewe. Hapa ni kuendelea kuivusha tu kwa majahazi hamna namna.
 
Hv kwa wenyeji wa huko kuna bar ama hizo pork point kweli 🤔🤔

vipi na machangu yapo au kitimoto ndiyo kosa pekee 🤔
 
Machangu ni wengi sana boss, niwewe tu. Nguruwe kuna sehem nyama inapatikana ila nguruwe ni haramu mkuu.
Kitimoto na bia zipo pale CCM karibu na viwanja vya maisara na mazaga mengine yote unayoyajua yapoooo....
 
Ukiwaona waislamu wanavyotaja au wanavyotamka neno makafiri utafikiri wana akili sana😀😀😀😀 Saudia Arabia imeshinda kombe la dunia mara ngapi?

Nenda kwa muislamu mwambie atupe vitu au bidhaa na asitumie vya makafiri😀😀😀 atakachobaki nacho inasikitisha, inahuzunisha na kuchekesha sana😀😀😀

Huwa nacheka sana mashekh na maostadhi nao wapo Facebook, Youtube na Tiktok nao wanapost maudhui walipwe na makafiri😀😀😀
 
Ukiwaona waislamu wanavyotaja au wanavyotamka neno makafiri utafikiri wanaa akili sana😀😀😀😀 Saudia Arabia imeshinda kombe la dunia mara ngapi?

Nenda kwa muislamu mwambie atupe vitu au bidhaa na asitumie vya makafiri😀😀😀 atakachobaki nacho inasikitisha, inahuzunisha na kuchekesha sana😀😀😀
Anabaki na vingi tu
1. Tende.
2. Kobazi.
3. Msuli n.k
 
Anabaki na vingi tu
1. Tende.
2. Kobazi.
3. Msuli n.k
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kazi unaenda kuombea cheti cha madrasa😀😀😀😀
mungu angekuwa ni muislamu, leo hii TV, Simu, magari, mitandao ya kijamii n.k vingekuwa vinatengenezwa na waislamu. mungu ampe utajiri kafiri Bilgate au Elon halafu amuache Hussein anaishi kwenye nyumba ya udongo (tope) anakula ugali na matenbele😀😀😀😀
 
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.

Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.
 
Attachments

  • Cam.png
    Cam.png
    336.1 KB · Views: 7
  • 410-e1582098328480.png
    410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 6
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.

Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kazi unaenda kuombea cheti cha madrasa😀😀😀😀
mungu angekuwa ni muislamu, leo hii TV, Simu, magari, mitandao ya kijamii n.k vingekuwa vinatengenezwa na waislamu. mungu ampe utajiri kafiri Bilgate au Elon halafu amuache Hussein anaishi kwenye nyumba ya udongo (tope) anakula ugali na matenbele😀😀😀😀
Mkuu tunakutupia jini albadiri muda si mrefu ngoja tuongee na jini allah.
 
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.

Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.
Kabla hujajenga hayo mabanda nikulize utawapitisha wapi.
 
Nimemkumbuka shehe wangu mmoja alikua anaibariki kabisa kabla yakuishushia adhuhuri 😆😆😆
 
Back
Top Bottom