Mimi nataka deal la kufuga nguruwe Ikulu, ikipatikana nafasi nijulishe asap.Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.
Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.