Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Karibu kizimkazi.Asante kwa taarifa..
Nguruwe ni tunu yetu watanzania, tuitunze.
Kuna pale CCM kila kitu kinapatikana.Hv kwa wenyeji wa huko kuna bar ama hizo pork point kweli π€π€
vipi na machangu yapo au kitimoto ndiyo kosa pekee π€
Aaminkwa kweli sisi zetu ni dua tu
Machangu ni wengi sana boss, niwewe tu. Nguruwe kuna sehem nyama inapatikana ila nguruwe ni haramu mkuu.Hv kwa wenyeji wa huko kuna bar ama hizo pork point kweli π€π€
vipi na machangu yapo au kitimoto ndiyo kosa pekee π€
Kitimoto na bia zipo pale CCM karibu na viwanja vya maisara na mazaga mengine yote unayoyajua yapoooo....Machangu ni wengi sana boss, niwewe tu. Nguruwe kuna sehem nyama inapatikana ila nguruwe ni haramu mkuu.
Hahahaaa, asante kwa code.Kitimoto na bia zipo pale CCM karibu na viwanja vya maisara na mazaga mengine yote unayoyajua yapoooo....
Anabaki na vingi tuUkiwaona waislamu wanavyotaja au wanavyotamka neno makafiri utafikiri wanaa akili sanaππππ Saudia Arabia imeshinda kombe la dunia mara ngapi?
Nenda kwa muislamu mwambie atupe vitu au bidhaa na asitumie vya makafiriπππ atakachobaki nacho inasikitisha, inahuzunisha na kuchekesha sanaπππ
ππππππππππAnabaki na vingi tu
1. Tende.
2. Kobazi.
3. Msuli n.k
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.
Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.

Mkuu tunakutupia jini albadiri muda si mrefu ngoja tuongee na jini allah.ππππππππππ
Kazi unaenda kuombea cheti cha madrasaππππ
mungu angekuwa ni muislamu, leo hii TV, Simu, magari, mitandao ya kijamii n.k vingekuwa vinatengenezwa na waislamu. mungu ampe utajiri kafiri Bilgate au Elon halafu amuache Hussein anaishi kwenye nyumba ya udongo (tope) anakula ugali na matenbeleππππ
Netanyau mbona hawakumtupia? Alikuwa AI wa vidole 6 mpaka sasa amekuwa mtu halisiππMkuu tunakutupia jini albadiri muda si mrefu ngoja tuongee na jini allah.
Kabla hujajenga hayo mabanda nikulize utawapitisha wapi.Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.
Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka ploti kako tengeneza mabanda, anza ufugaji.