Fursa za biashara Kenya

Huo ni ubwabwa, wanaupenda sana kwao huko.
Jana nimenunua kilo kumi za mchele wa pishori kutoka Mwea kwa bei ya 140Kshs per KG, halafu naona kwa Tanzania ni kama 270kshs kwa kilo ila sijui ni wa aina gani Corona yapandisha bei ya mchele
Pishori ni moja ya mchele usio na soko kuliko aina zote Tz.

Kwa sasa unaupata kwa Tshs450-500/kg mashineni mkoani Shinyanga (Kagongwa/Isaka) ilhali mzuri unaanzia Tshs1,200+/kg.

Ndo nalishia kuku wangu wa kienyeji huo.
 
Weka link wacha kuficha ukweli, unatupia screenshot ili kuficha ukweli sio? Weka link yote tusome kama nilivyokuwekea hiyo link ujisomee. Hahahaha, hahahaha
 
Pishori ni moja ya mchele usio na soko kuliko aina zote Tz.

Kwa sasa unaupata kwa Tshs450-500/kg mashineni mkoani Shinyanga (Kagongwa/Isaka) ilhali mzuri unaanzia Tshs1,200+/kg.

Ndo nalishia kuku wangu wa kienyeji huo.
Mjinga kwa ubora wake, mchele kilo uuzwe kilo tsh 500 kwani huyo mkulima anafanya kazi ya mishonari? Mchele kilo uuzwe ksh 20?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa haujakidhi viwango vya binadanamuu. Hata TBS wanafahamu vizuriii!
 
Afu hii nyang'au inasema mchele wetu wa kiduwanzi. As if they matter.
 
ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa....haujakidhi viwango vya binadanamuu...hata tbs wanafahamu vizuriii!
Huu ndiyo huwa mnakula [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Mjinga kwa ubora wake, mchele kilo uuzwe kilo tsh 500 kwani huyo mkulima anafanya kazi ya mishonari? Mchele kilo uuzwe ksh 20?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Kama hujui kitu bora ukae kimya tu kuliko kuleta ujuaji na upumbavu.

Pishori ndo mchele usio na soko kuliko yote lake zone ulitaka uwe bei gani tena kipindi chenyewe ni cha mavuno?

Na pamoja na kuuzwa bei hiyo wakulima hawapati hasara!

Uliza kilimo cha pishori kinakuwaje siyo kuhololoja tu.
 
ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa....haujakidhi viwango vya binadanamuu...hata tbs wanafahamu vizuriii!
Ndio sababu Dogs hazifi kwa njaa, lakini wakenya wanakufa kwa kukosa Chakula
 
Hiyo rice mnalima wenyewe au mna import? Ni organic food au GMO foods?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…