Fursa za biashara Kenya

Fursa za biashara Kenya

Nikupe link kwani wewe bando lako walifanyia Nini? Kila siku unalipwa buku Saba pale lumumba chukua buku ukanunue bando ukaperusi,au Leo hutapewa maana CCM wapo dodoma kwa mkutano mkuu wa chama?.
Onyesha ni nchi gani kati ya hizo ulizotaja ambayo inaiuzia Kenya japo mchele wenye thamani ya nusu ya hiyo $3.6M.
Tanzania exports of rice to Kenya - 1998-2018 Data | 2020 Forecast
Mengine jitafutie.
Screenshot_2020-07-11-11-57-31-76_4641ebc0df1485bf6b47ebd018b5ee76.jpg

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni ubwabwa, wanaupenda sana kwao huko.
Jana nimenunua kilo kumi za mchele wa pishori kutoka Mwea kwa bei ya 140Kshs per KG, halafu naona kwa Tanzania ni kama 270kshs kwa kilo ila sijui ni wa aina gani Corona yapandisha bei ya mchele
Pishori ni moja ya mchele usio na soko kuliko aina zote Tz.

Kwa sasa unaupata kwa Tshs450-500/kg mashineni mkoani Shinyanga (Kagongwa/Isaka) ilhali mzuri unaanzia Tshs1,200+/kg.

Ndo nalishia kuku wangu wa kienyeji huo.
 
Weka link wacha kuficha ukweli, unatupia screenshot ili kuficha ukweli sio? Weka link yote tusome kama nilivyokuwekea hiyo link ujisomee. Hahahaha, hahahaha
 
Pishori ni moja ya mchele usio na soko kuliko aina zote Tz.

Kwa sasa unaupata kwa Tshs450-500/kg mashineni mkoani Shinyanga (Kagongwa/Isaka) ilhali mzuri unaanzia Tshs1,200+/kg.

Ndo nalishia kuku wangu wa kienyeji huo.
Mjinga kwa ubora wake, mchele kilo uuzwe kilo tsh 500 kwani huyo mkulima anafanya kazi ya mishonari? Mchele kilo uuzwe ksh 20?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa haujakidhi viwango vya binadanamuu. Hata TBS wanafahamu vizuriii!
 
unajichekesha

Tanzania kuna kila aina ya mchele na mchele wa Tanzania unasifika Africa yote na duniani, sasa ninyi mafukara mnataka mle mchele high quality wakati pesa hamna?

Ninyi huwa tunawaletea zile takataka za shamba tena kwa bei ya juu..

Afu hii nyang'au inasema mchele wetu wa kiduwanzi. As if they matter.
 
ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa....haujakidhi viwango vya binadanamuu...hata tbs wanafahamu vizuriii!
Huu ndiyo huwa mnakula [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1594363600714.jpeg
tapatalk_1588320761780.jpeg
 
Mjinga kwa ubora wake, mchele kilo uuzwe kilo tsh 500 kwani huyo mkulima anafanya kazi ya mishonari? Mchele kilo uuzwe ksh 20?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Kama hujui kitu bora ukae kimya tu kuliko kuleta ujuaji na upumbavu.

Pishori ndo mchele usio na soko kuliko yote lake zone ulitaka uwe bei gani tena kipindi chenyewe ni cha mavuno?

Na pamoja na kuuzwa bei hiyo wakulima hawapati hasara!

Uliza kilimo cha pishori kinakuwaje siyo kuhololoja tu.
 
ubwabwa wa tz huwa tunapikia wanyama wa nymbani kama vile dogy na pakaaa....haujakidhi viwango vya binadanamuu...hata tbs wanafahamu vizuriii!
Ndio sababu Dogs hazifi kwa njaa, lakini wakenya wanakufa kwa kukosa Chakula
 
Not everyone,kila mtu ananunua kinachompendeza wapo wanaonunua rice because of aroma, Wakenya wengi wanapenda ule mchele ukipikwa haushikani. Kuna kipindi nilikua Tanzania nikaenda kwenye hotel nilipewa wali ambao umeshikana Kama ugali, hata nilishindwa kuula maana our rice unaweza hata ukauhesabu baada ya kupika.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hiyo rice mnalima wenyewe au mna import? Ni organic food au GMO foods?
 
Back
Top Bottom