Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Safi sana kiongozo kwa kutufungua macho.Ubarikiwe sana.Nitakupm one day tuzungumze vizuri.

Ngoja nidundulize fedha.
 
vitu adimu sana hivi mkuu asante sana kwa moyo wa kipekee ulionao kwasababu wapo wengi wanajua mengi lakini hawataki kuwaelekeza wengine!! Mungu akubariki sana umetufungua na wengine sikuwahi kuiwazia hiyo nchi!!!
 
Safi sana kiongozo kwa kutufungua macho.Ubarikiwe sana.Nitakupm one day tuzungumze vizuri.

Ngoja nidundulize fedha.

Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml..Wengine wanapitisha bidhaa port lakini wengine wakipitisha bidhaa zilezile basi TBS wanazichoma moto eti ni FAKE
 
Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml
kwahiyo tatizo ni TRA...hawa jamaa wanarudisha nyuma sana wafanyabiashara.
 
Kweli hawa Tra wanaturudisha nyuma kweli.
Ila vipi kuhusu bidhaa ambaza hazilipiwi ushuru kama computers, printers etc. Vitasumbua kutoa bandarini?
 
mkuu shukrani kwa kutupatia source ya ujasiliamali ambayo wabongo wengi ni vigumu kuwapatia wenzao
 
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa

Mkuu tunashukuru sana kwa taarifa mhimu sana. Unaonekana wewe ni Mtanzania mzalendo sana. Maana taarifa pekee ni fedha. Watu wanafedha ila hawana taarifa nini cha kufanya. Labda mkuu vipi kuhusu vurugu za waandamanaji zinazoendelea kila kukicha huko thailand si ni tatizo kwa wageni wanaoingia humo?
 
vurugu za maandamano uwa azi affect sana biashara sababu zinafanyika maeneo yenye ofisi za serikali kama wizara ya fedha etc.

maeneo ya biashara na utalii hakuna maandamano. hivo biashara zipo kama kawa. mitaa yenye ofis za serikali ndio uwa kinanuka
 
Mkuu MONEYstuna asante sna kwa taarifa samahani waweza nambia nauli ya go and return pamoja na visa
 
Last edited by a moderator:
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.

Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.

Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.

Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.

Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.

Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.

Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.

Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.

Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.

Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall

Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.

Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.

Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.

Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.

Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.

Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.

Kazi kwenu sasa

Ahsante Mkuu
 
Mkuu MONEYstuna asante sna kwa taarifa samahani waweza nambia nauli ya go and return pamoja na visa

Wasiliana na hizi kampuni za kukatisha ticket watakusaidia taratibu zote adi visa pia wanakatisha ticket za ndani na kimataifa.

Wing Travel Limited
simu : 255 22 2120675
Website www.winglink.net/blog/

Pia Travel start
Simu 255 222124881/2
Website www.travelstart.co.tz

Wasiliana nao wote mwisho wa siku utachagua yupi akusaidie visa na ticket
 
Last edited by a moderator:
Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml..Wengine wanapitisha bidhaa port lakini wengine wakipitisha bidhaa zilezile basi TBS wanazichoma moto eti ni FAKE

Mbona nimeipenda hiyo ya cement je wewe hajaweza kujua mbinu gani wanatumia ili tulipe ushuru kidogo! nahitaji sana cement ndugu!
 
Hizo namba zinaweza kukusaidia pia Bangkok kuna watu wa kila aina sijaona ubaguzi.

Usalama upo

shukran kwa taarifa mkuu,
nimewafahamu kibiashara kama dazeni moja ya wathai ndani ya Tz, wanaonekana kana kwamba maisha yao ya kibiashara si tofauti sana na wachina na wana magenge ya uhalifu wa kibiashashara pia.

Kwa mtu anayepeleka biashara kwao usalama ni wa uhakika?, au pia kuna sehemu za kuepuka?
 
Back
Top Bottom