Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
Mkuu ulivyotazama mtu anatakiwa awe na kianzio cha shilingi ngapi eli aweze kuleta mzigo ambao anaweza pata masilahi kidogo?
Mtaji inategemea na biashara unayofata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulivyotazama mtu anatakiwa awe na kianzio cha shilingi ngapi eli aweze kuleta mzigo ambao anaweza pata masilahi kidogo?
Wewe niambie natakiwa niwe na minimal kiasi gani kama vifaa vya electronics, nguo, cheni, viatu wewe chambua vyote
Safi sana kiongozo kwa kutufungua macho.Ubarikiwe sana.Nitakupm one day tuzungumze vizuri.
Ngoja nidundulize fedha.
kwahiyo tatizo ni TRA...hawa jamaa wanarudisha nyuma sana wafanyabiashara.Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml
Kweli hawa Tra wanaturudisha nyuma kweli.Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.
Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.
Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.
Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.
Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.
Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.
Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.
Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.
Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.
Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall
Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.
Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.
Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.
Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.
Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.
Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.
Kazi kwenu sasa
Mkuu tunashukuru sana kwa taarifa mhimu sana. Unaonekana wewe ni Mtanzania mzalendo sana. Maana taarifa pekee ni fedha. Watu wanafedha ila hawana taarifa nini cha kufanya. Labda mkuu vipi kuhusu vurugu za waandamanaji zinazoendelea kila kukicha huko thailand si ni tatizo kwa wageni wanaoingia humo?
Safi sana kiongozo kwa kutufungua macho.Ubarikiwe sana.Nitakupm one day tuzungumze vizuri.
Ngoja nidundulize fedha.
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.
Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa bei rahis sana .mfano wa hotel hizo ni Airy resort bei yake ni tzsh 21,000 kuna silva gold garden bei tzsh 23,000 etc hizo zipo karibu na airport na hizo room kuna wifi, simu, maji, vitanda safi, room kubwa etc.
Mji wao mkuu ni Bangkok. Kwa wale wenye maduka ya nguo ya kuuza shirts,blouses,skirts, jackets, ties, bags etc ni fursa nzuri kwenu sababu kule vitu bei ni sawa na bure ata nguo nyingi na viatu zinazouzwa Marekani zimetoka Bangkok Thailand, China na Korea.
Sababu kuu ya bei yao kuwa ndogo ni kuwa wanatumia cheap labor na wana viwanda vingi sana.
Unaweza kununua bidhaa zako kwenye shopping mall au kwenye masoko ya bei rahis mfano kuna soko la weekend linaitwa "chatuchak weekend market " hapo wakuu vitu bei ni sawa na bure na nguo mpya quality nzuri.
Mfano bei za tshirt, jeanz unaweza pata kuanzia 50baht sawa na dolla 1.60 adi 100 baht hizi bei ninazokutajia ni kama ukinunua kwa bidhaa moja moja kwa maana hiyo ukinunua kwa jumla bei inakuwa chini ya hapo.
Kwa bei ya kitu kimoja moja kiatu kizuri cha 60,000 bangkok utanunua kwa dolla 3 au 4.
Pia unaweza kubageini kwa maana hiyo ukinunua kwa uwingi unapunguziwa.
Pia kuna market nyingine kama Prutunam market.
Kwa wale wenzangu mnaopenda kufanya shopping kwenye mall
Kuna shopping mall kama Terminal 21 ,shopping mall mbk etc.
Kwa hiyo ni jukumu lako kuamua kama unafanya shopping kwa market za kawaida ambazo bei uwa cheap zaidi kutokana ufanyika sehemu ya wazi. Na ukipenda shopping mall sawa pia.
Pia kule bidhaa za heleni za kina dada na cheni zipo kule bei ya cheni ya silver ni rahis zaidi kuliko tz.
Tiket za ndege bei utegemea umekata ndege gani na umekata mapema au ...
Hivo unaweza kufatilia ilo.
Kuna wafanyabiashara wa maduka wengi kariakoo nawajua kama 3 waliotajirika kupitia kufata mzigo uko.
Mwenye kuongezea ujuzi ruksa pengine kuna vitu nimesahau pia kama nimeandika kiswahili kibovu samahan.
Kazi kwenu sasa
Mkuu MONEYstuna asante sna kwa taarifa samahani waweza nambia nauli ya go and return pamoja na visa
Hizo bei alizosema $ stuna ni kweli kabisa..lakini nchi yetu ilivyo si kila mtu anawezafanya biashara hizi za ku IMPORT,mbali ya kusafiri,kununua na kutuma bidhaa kizingiti kikubwa kipo kwenye kodi,kodi zetu hazieleweki kabisa X akinunua bidhaa hii ushuru ni huu na Y akinunua bidhaa ileile ushuru ni tofauti kabisa,nikupe mfano kidogo kuna siku nilifunga container na kulisafirisha Tz,ndani kulikuwa na vitu mchanganyiko kulikuwa na baiskeli moja ya mtoto ambayo nilinunua $30 lakini Tra wali uplift na ktk hesabu zao wakasema ni $120 hivyo ushuru ukaja wa ajabu sana,ndio maana unaona watu wanashindwa kutoa vitu bandarini.Gharama ya kuingiza kijigari kidogo kama Vitz ya 2004 Nigeria ni $1200 Uganda wasio na bandari ni $1570 Tz ni almost $2000 mpaka kuiweka njiani!!!ndio maana leo watu wanatoka Tz kwenye bandari kwenda kununua bidhaa Rwanda/Uganda kusiko na bandari????Bidhaa nje ni rahisi lakini si kila mtu anawezafanya biz ya kuingiza bidhaa nchini.Kuna watu container la ft 20 lenye cement wanatoa ushuru wa 1.8ml maana mfuko mmoja wa cement Dubai ni Tsh 2500/mimi pia nilituma langu jamaa Tra wakanipiga 3.2ml..Wengine wanapitisha bidhaa port lakini wengine wakipitisha bidhaa zilezile basi TBS wanazichoma moto eti ni FAKE
Safi sana kiongozo kwa kutufungua macho.Ubarikiwe sana.Nitakupm one day tuzungumze vizuri.
Ngoja nidundulize fedha.
Hizo namba zinaweza kukusaidia pia Bangkok kuna watu wa kila aina sijaona ubaguzi.
Usalama upo