Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

Goodchance

Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
19
Reaction score
18
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k

Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu
 
Kak mm npo interest sana apo # 2 na # 5..ebu nielekeze vizur inahitaji mtaji wa kuanzia kam sh.ngapi hvi.?na inakuaje upatkanaj wake
 
Nataka kufanya biashara ya vipidozi,naomba muongozo wako
 
Hapo #2 mtu anatakiwa aanze na mtaji wa sh. ngapi? Unaweza ukatoa mfano wa bidhaa zozote ulizoona hapo Dubai?
 
Samahani wote ambao mmeona kama nimeanzisha uzi alafu nikakimbia. Unajua leo ni weekend huku and nilikua nimepumzika and muda si mrefu nitaingia kwenye ibada kusali. Naombeni mnisamehe nikitoka kanisani tutaongea vizuri na kushauriana.
 
hizo spare no 2 kunasehem maalum kwa ajili ya spare ambapo mtu akija anawezanunua kwa bei ya jumla na kuondoka na vipi kwa uzoefu wako ni kama chine kwa ufeki i mean kuna kua na feki
 
mie nataka mabaibui ya ramadhani. tsh ngapi?
 
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia.
Uwepo wangu huku kwa kipindi cha zaidi ya mwezi nimeweza kujifunza na kutafiti fursa mbali mbali ambazo kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo, wa kati na mtaji wa juu anaweza kufaidika na fursa hizi. Either kwa kuagiza mzigo au kuja mwenyewe na kustudy fursa hizo then akapata idea ya biashara gani anaweza kuifanya.
Kwa haraka haraka fursa ambazo nimeziona ni kama zifuatazo
1. Biashara ya nguo.
2.Biashara ya vifaa vya ujenzi na umeme
3. Biashara ya vipodozi
4. Magari ya biashara au ya matumizi binafsi
5. Spea za magari
6. Tende kwa msimu huu wa Ramadan
7. Simu, laptops. Tablets n.k

Unaweza kuuliza swali nikakupa msaada kadri ya uelewa wangu
Mm nauza madini ya vito (gemstone) soko lipoje uko

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nataka kufanya biashara ya vipidozi,naomba muongozo wako

Andaa mtaji wako tu,kuna soko linalouza vifaa vya aina yako pale Naif kuna kila vipodozi unavyotaka,kikubwa wewe kufanya utaratibu wakutoa mzigo wako hapo Dar ,

Nimeona ninsaidie huyo jamaa kujibu
 
hizo spare no 2 kunasehem maalum kwa ajili ya spare ambapo mtu akija anawezanunua kwa bei ya jumla na kuondoka na vipi kwa uzoefu wako ni kama chine kwa ufeki i mean kuna kua na feki

Inategemea unataka spear zipi? Wauzaji wa bidhaa zote UAE ikiwa bidhaa ambayo sio original wanakuambia na bei yake inakuwa toauti na original,
Sharjah ni sehem ambayo inauzwa spear aina zote kwa bei nzuri kuliko Dubai,
 
Kak mm npo interest sana apo # 2 na # 5..ebu nielekeze vizur inahitaji mtaji wa kuanzia kam sh.ngapi hvi.?na inakuaje upatkanaj wake

Hiyo ya spear za magari inataka mtaji mkubwa + ushuru wetu huko,wengi wanaofanya biashara hiyo nimeona wanakuwa group kiasi hata watu 3 mpaka 5 inategemea mtaji wao,kila mmoja anadeal na bidhaa yake,lakini wanamtuma mmoja wao ndio anasafiri hapo wanaweza kujaza container ya ft20,bidhaa upatikanaji wake zipo muda wote unahitaji siku 2 mpaka 5 kukusanya inategemea pia mtaji wako na ukusanyaji wako
 
Jamani sio Mimi nilieanzisha uzi nimeona nimsaidie tu huyu kujibu japo Mimi naishi huku miaka mingi
 
Mm nauza madini ya vito (gemstone) soko lipoje uko

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kuna soko linaitwa souq dhahab,au gold souk,iko karibu na mtaa wa rigga na naif pale ndio kunauzwa vitu hivyo,
 
Inategemea unataka spear zipi? Wauzaji wa bidhaa zote UAE ikiwa bidhaa ambayo sio original wanakuambia na bei yake inakuwa toauti na original,
Sharjah ni sehem ambayo inauzwa spear aina zote kwa bei nzuri kuliko Dubai,

thanks sana sema ni airport gani unatumia kufika hapo hio arabu emirate zinanichanganya sana nimejaribu kuingiza hilo jina kwa booking ya ndege lakini halileti any airport plse msaada nafikaje hapo sharjah
 
Dubai kuna airport 3 international, Kwa ndege inayotoka Africa zaidi wanatumia airport ya DXB ambayo ni terminal 1 au 3 au airport ya al maktoum airport hii ni mpya iko njia ya Abu Dhabi kiasi km 50 toka Dubai,lakini kijiografia Dubai na sharjah ni mji mmoja,mfano wake kama Dar, na pale kibaha
 
ki ukweli dubai vitu ni bei rahisi japo sikukaa sana ila nililiona hilo,kuna vitu nilinunua mall of emirates(moe) vilikuwa ni bei rahisi mpaka nikashangaa, mfano nilinunua flash ya gb 8 kwa dirham 10 ambayo ni sawa ni aprox 4600/= ambapo huku kwa jk sijui ingekuwaje,pia nguo ni bei rahisi sana,kwa wenye mitaji kweli pale mahali panafaa sana,pia usafiri sio ghali sana cause kuna option mbili,ya kwanza ni kufly directly to dubai from dar(hii ni expensive kidogo) na nyingine ni ya kupitia doha(hii ni cheap ukilinganisha na ya kwanza).Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom